Loading...

UTAMADUNI WA KUFANYA KAZI NI NJIA YA KUFIKIA LENGO LA TANZANIA YA VIWANDA.

Loading...
UTAMADUNI WA KUFANYA KAZI NI NJIA YA KUFIKIA LENGO LA TANZANIA YA VIWANDA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UTAMADUNI WA KUFANYA KAZI NI NJIA YA KUFIKIA LENGO LA TANZANIA YA VIWANDA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UTAMADUNI WA KUFANYA KAZI NI NJIA YA KUFIKIA LENGO LA TANZANIA YA VIWANDA.
link : UTAMADUNI WA KUFANYA KAZI NI NJIA YA KUFIKIA LENGO LA TANZANIA YA VIWANDA.

soma pia


UTAMADUNI WA KUFANYA KAZI NI NJIA YA KUFIKIA LENGO LA TANZANIA YA VIWANDA.

Mwambawahabari

unnamed
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel (kulia) akiongea na Menejmenti ya Halmashauri ya Mkoa wa Songwe(Hawapopichani) alipotembelea mkoa huo jana ,kushoto ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Bw. Herman Paul Tesha.
1
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole akiangalia moja ya kazi za filamu iliyoandaliwa na wasanii wa Mkoa wa Songwe alipotembelea mkoa huo jana,Kushoto ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa huo Bw. Herman Paul Tesha
2
Wazee wa kimila kutoka koo mbalimbali za Mkoa ni Songwe walipokutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel (hayupo katika picha) jana mkoani hapo.
3
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel  akisikiliza maelezo ya kimondo kilichopo Mkoani Songwe wakati wa ziara yake Mkoani hapo.
Picha na Zawadi Msalla-WHUSM)

……………….
Na ZawadiMsalla-WHUSM
Watumishi waMkoawaSongwewameshauriwakuwanautamduniwakufanyakazikwabidiiikiwaninyenzomuhimuyakufikiamalengonaazmailiyowekwanaSerikaliyaawamuyatanoyakuifanya Tanzania kuwanchiyaViwanda.
HayoyamezungumzanaKatibuMkuuwaWizarayaHabari,Utamaduni,Sanaa naMichezoProf.Elisante Ole GabrielwakatialipokutananaSekretarietiyaMkoahuo,nakuwaelezakuwaniwakatimuafakakwawatumishikupatanakutoaelimusahihiyakuwafanyawananchiwapendeutamaduniwakufanyakazikwabidiibilakulazimishwa.
” Ni vizuriwatumishiwakawanaelimuyakutoshakuhusuutamaduniwakufanyakazikwabidiinakuzingatiamaadiliyakiutumishiilikuwezakuwaelimishawananchiumuhimuwakufanyakazikwamaendeleoyanchiyetu”alisemaProf.Gabriel
Prof.ElisantealiongezakuwanimuhimukwawatumishiwaUmmanawatanzaniakwaujumlakufanyakazikwakushirikianailikutekelezamajukumuyaoyakilasikukwamanufaayataifa.
AidhaalielezakuwanibudiWatanzaniakufuatamaadilinakuzingatiamudakatikautunzajiwarasilimalizanchikwamanufaayakizazikilichoponakijachokwakuwanivigumukutegemeamtukutokanjeyanchikutunzarasilimalizanchiyetu.
VilevileKatibuMkuuProf.ElisantealiwaombawatumishiwaSekretarietiyaMkoawaSongwekuungamkonojitihadazaRais John PombeMagufulizakuipelekambelenchikatikauchumiwakatinakuwa Tanzania yaViwanda.
MbalinahayoProf.ElisantealiipongezaWilayayaIlejekwakuwamfanokatikautendajiuliopelekeamafanikiomakubwakwamkoawaSongwenakuzitakaWilayanyinginekuigamfanohuo.
NayeKaimuKatibuTawalaMkoaBw.HermanTeshaaliahidikutekelezaushauriulitolewanaKatibuMkuuProf.Elisantelichayauchangawamkoawake kwakuwaanaaminimwamkonaariyawatumishiwaliopokwapamojawanawezakuletamaendeleo.


Hivyo makala UTAMADUNI WA KUFANYA KAZI NI NJIA YA KUFIKIA LENGO LA TANZANIA YA VIWANDA.

yaani makala yote UTAMADUNI WA KUFANYA KAZI NI NJIA YA KUFIKIA LENGO LA TANZANIA YA VIWANDA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UTAMADUNI WA KUFANYA KAZI NI NJIA YA KUFIKIA LENGO LA TANZANIA YA VIWANDA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/utamaduni-wa-kufanya-kazi-ni-njia-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UTAMADUNI WA KUFANYA KAZI NI NJIA YA KUFIKIA LENGO LA TANZANIA YA VIWANDA."

Post a Comment

Loading...