Loading...
title : WANANCHI WAFURIKA KATIKA BANDA LA WAKALA WA MISITU KWA AJILI YA KUJIFUNZA MAMBO MENGI YA KIASILI
link : WANANCHI WAFURIKA KATIKA BANDA LA WAKALA WA MISITU KWA AJILI YA KUJIFUNZA MAMBO MENGI YA KIASILI
WANANCHI WAFURIKA KATIKA BANDA LA WAKALA WA MISITU KWA AJILI YA KUJIFUNZA MAMBO MENGI YA KIASILI
Manager kutoka wakala wa misitu Florian M Mkeya Akitoa maelezo n a ufafanuzi kwa ajili ya wananchi kufika na kujifunza pamoja na kujionea faida za misitu na jinsi zinavyoweza kuleta mafanikio makubwa pamoja na kutoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi ili kutembelea katika bvanda lao lililopo ndani ya jengo la maliasili na utalii.
Wakala wa misitu katika maonyesho ya sabasaba kwa awamu hii ya 41 wanapatikana na wamekuja kwa lengo kubwa la kutaka kutoa elimu kwa watanzania wote kupata kujifunza na kuelewa jinsi gani misitu ya asili hapa nchini inaweza kuleta faida kubwa pamoja na mafanikio makubwa kwa wazawa husika
Akitaja moja ya faida mbalimbali zinazoweza kupatikana kutokana na misitu hiyo Manager kutoka wakala wa misitu Bwn.Florian Mkeya kuwa ni pamoja na kuweza kujifunza na kuelewa jinsi gani upatikanaji wa nyuki wengi katika misitu na namna ya kujifunza pia utengenezwaji wa mizinga kwa ajili ya kukupatia mtanzania faida kubwa kwenye uzalishajaji nwa asali ambao ni mafanikio ya nyuki na misitu yenyewe
Aidha ameongeza upatikanaji wa misitu hapa nchini unafaida kubwa kama vile watu wengi
wamekuwa hawajui misitu ndiyo yenye uwezo wa kuondoa ukame na kuleta vyanzo mbalimbali vya mvua pamoja na kijipatia vitu vingi kama mbao nk
Hata hivyo Afisa uhusiano na Mawasiliano kutoka wakala wa misitu Bwn.Tulizo Kilaga ametoa rai kwa watanzania kufika na kujionea mambo mengi yanayopatikana katika banda lao na pia kuweza kujifunza mambo mengi kwa faida ya kizazi cha sasa na cha baadae na pindi mtanzania atakapo fika katika banda hilo la misiti pia atapata kujionea vitu mbalimbali vinavyozalishwa na kutokana na misitu hapa nchini kama vile viti vya kiasili kabisa ambavyo ni bidhaa bora na zenye uhakika katika matumizi
"Nimekuja hapa kwa ajili ya kujifunza ni jinsi gani nyuki wanatengeneza asali na pia ni kwa jinsi gani naweza na mimi nikajifunza namna ya kutengeneza mizinga ya asali kwa bei na garama nafuu kabisaa na kwa kweli nimejifunza mengi mno ndio maana nipo na familia yangu pia ili kujifunza ziadi "Alisema bi Aneth Kwiga ambae alifika katika banda hili la maonyesho kwa ajili ya kujifunza namna ya ufugwaji wa nyuki kwa ajili ya asali.
Hivyo makala WANANCHI WAFURIKA KATIKA BANDA LA WAKALA WA MISITU KWA AJILI YA KUJIFUNZA MAMBO MENGI YA KIASILI
yaani makala yote WANANCHI WAFURIKA KATIKA BANDA LA WAKALA WA MISITU KWA AJILI YA KUJIFUNZA MAMBO MENGI YA KIASILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WAFURIKA KATIKA BANDA LA WAKALA WA MISITU KWA AJILI YA KUJIFUNZA MAMBO MENGI YA KIASILI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/wananchi-wafurika-katika-banda-la.html
0 Response to "WANANCHI WAFURIKA KATIKA BANDA LA WAKALA WA MISITU KWA AJILI YA KUJIFUNZA MAMBO MENGI YA KIASILI"
Post a Comment