Loading...

UZINDUZI WA BARAZA LA WAZALISHAJI WAFANYIKA ZANZIBAR.

Loading...
UZINDUZI WA BARAZA LA WAZALISHAJI WAFANYIKA ZANZIBAR. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UZINDUZI WA BARAZA LA WAZALISHAJI WAFANYIKA ZANZIBAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UZINDUZI WA BARAZA LA WAZALISHAJI WAFANYIKA ZANZIBAR.
link : UZINDUZI WA BARAZA LA WAZALISHAJI WAFANYIKA ZANZIBAR.

soma pia


UZINDUZI WA BARAZA LA WAZALISHAJI WAFANYIKA ZANZIBAR.

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Wafanyabishara wa Zanzibar katika Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja.
Katibu wa Baraza la Wazalishaji Zanzibar Madam Cheherezade Chukh akitoa hotuba ya makaribisho katika uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazalishaji Zanzibar Ahmed Yussuf Baalawy akizungumza machache katika uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja.
Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika  uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala UZINDUZI WA BARAZA LA WAZALISHAJI WAFANYIKA ZANZIBAR.

yaani makala yote UZINDUZI WA BARAZA LA WAZALISHAJI WAFANYIKA ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA BARAZA LA WAZALISHAJI WAFANYIKA ZANZIBAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/uzinduzi-wa-baraza-la-wazalishaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UZINDUZI WA BARAZA LA WAZALISHAJI WAFANYIKA ZANZIBAR."

Post a Comment

Loading...