Loading...
title : Vijana watatu wahukumiwa kifo kwa kumvua nguo mwanamke Kenya
link : Vijana watatu wahukumiwa kifo kwa kumvua nguo mwanamke Kenya
Vijana watatu wahukumiwa kifo kwa kumvua nguo mwanamke Kenya
Vijana watatu walioshikiliwa na polisi kwa mda mrefu kwa kosa la kumvamia na kumvua nguo mwanamke mmoja ndani ya basi nchini Kenya wamehukumiwa kifo kwenye mahakama moja mjini Nairobi.
Mtandao wa BBC Swahili umeripoti kuwa wanaume hao watatu wamehukumiwa kifo baada ya kukutwa na hatia ya makosa hayo likiwemo la kumuibia mwanamke huyo aliefahamika kwa jina la Jilo Kadida..
Wanaume hao watatu ni dereva wa basi Nicholas Mwangi, na makondakta wake Meshack Mwangi na Edward Ndung’u.
Hivyo makala Vijana watatu wahukumiwa kifo kwa kumvua nguo mwanamke Kenya
yaani makala yote Vijana watatu wahukumiwa kifo kwa kumvua nguo mwanamke Kenya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Vijana watatu wahukumiwa kifo kwa kumvua nguo mwanamke Kenya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/vijana-watatu-wahukumiwa-kifo-kwa.html
0 Response to "Vijana watatu wahukumiwa kifo kwa kumvua nguo mwanamke Kenya"
Post a Comment