Loading...
title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE
link : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa baada ya kuwasili Mkwajuni wilayani Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Songwe Julai 20, 2017. Kulia ni mkewe Mary.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Songwe, Elias Nawela baada ya kuwasili Mkwajuni wilayani Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Songwe Julai 20, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimia wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) alipozungumza na watumishi wa umma na viongozi wa dini kwenye ukumbi wa Chuo cha Uuguzi cha Kanisa Katoliki cha Mwambani wilayani Songwe, Julai 20, 20117. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma na viongozi wa dini wa mkoa wa Songwe kwenye ukumbi wa Chuo cha Uuguzi cha Kanisa Katoliki cha Mwambani wilayani Songwe, Julai 20, 2017. Kushoto ni Mkewe Mary na Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-aanza-ziara.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE"
Post a Comment