Loading...

Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe

Loading...
Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe
link : Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe

soma pia


Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe

 Rais Mtaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akilakiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipofika kumpa pole kwa msiba wa mke wa Waziri huyo mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
 Rais Mtaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiongea na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipofika kumpa pole kwa msiba wa mke wa Waziri huyo mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
 Msanii wa muziki wa Kizazi kipya Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz (kulia) akimpa mkono wa pole  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akiteta jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakati walipoenda kumpa pole Waziri Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, kulia ni aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyarandu na kushoto ni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe.




Hivyo makala Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe

yaani makala yote Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/viongozi-na-wananchi-mbalimbali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Viongozi na wananchi Mbalimbali Wajitokeza Kumfariji Dkt Harrison Mwakyembe"

Post a Comment

Loading...