Loading...
title : Wadau wa Habari kutoka China na Tanzania wakutana kujadili masuala ya Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni
link : Wadau wa Habari kutoka China na Tanzania wakutana kujadili masuala ya Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni
Wadau wa Habari kutoka China na Tanzania wakutana kujadili masuala ya Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni
MwambawahabariMkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi akiongea katika mkutano Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni kati ya wadau wa Habari kati ya Tanzania na China Leo Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa China Nchini Dkt. Lu Youqing akiongea wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano kuhusu Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni ambapo aliahidi kuendelea kutoa ushirikiano katika masuala Mawasiliano
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mkutano huo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi akiteta akiwaeleza jambo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano(Mawasiliano) Mhandisi Angelina Madete (katikati) na Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani.
Makamu wa Waziri Mwenye Dhamana ya masuala ya mitandao kitaifa kutoka China Ren Xianliang akiongea wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano kuhusu Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni ambapo aliahidi kuendelea kutoa ushirikiano katika masuala Mawasiliano
Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani akiongea wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano kuhusu Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni ambapo alisema kwa sasa serikali ipo katika hatua za kutengeneza mpango wa taifa wa Usalama wa mtandao.
Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni
Hivyo makala Wadau wa Habari kutoka China na Tanzania wakutana kujadili masuala ya Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni
yaani makala yote Wadau wa Habari kutoka China na Tanzania wakutana kujadili masuala ya Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wadau wa Habari kutoka China na Tanzania wakutana kujadili masuala ya Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/wadau-wa-habari-kutoka-china-na.html
0 Response to "Wadau wa Habari kutoka China na Tanzania wakutana kujadili masuala ya Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni"
Post a Comment