Loading...
title : Balozi Seif Ali Iddi amjulia hali Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Mohamed Raza Hassanali
link : Balozi Seif Ali Iddi amjulia hali Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Mohamed Raza Hassanali
Balozi Seif Ali Iddi amjulia hali Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Mohamed Raza Hassanali
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kulia akimjulia hali Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Mohamed Raza Hassanali hapo Hotelini Kwake Golden Tulip Kibweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Mh. Raza anaendelea na mapumziko mafupi baada ya kufanyiwa matibabu Nchini India hivi karibuni. Aliyepo nyuma yao ni Mdogo wake Mh. Mohamed Raza ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Kimbesamaki Mh. Ibrahim Raza.
Mh. Mohamed Raza kati kati akieleza namna alivyopata huduma za Afya wakati akiwa Hospitalini Nchini India. Wa kwanza kulia ni Balozi Seif na kulia ya Mheshimiwa Raza ni Daktari Azan anayefuatilia afya yake katika kipindi hichi cha mapumziko.
Dr. Azan akimueleza Balozi Seif baadhi ya njia anazopaswa Mtu kuzichukuwa katika kujilinda dhidi ya maradhi ya Kisukari makubwa zaidi ni kufuata miko ya vyakula na kufanya mazoezi kila siku.
Picha na OMPR – ZNZ.
Hivyo makala Balozi Seif Ali Iddi amjulia hali Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Mohamed Raza Hassanali
yaani makala yote Balozi Seif Ali Iddi amjulia hali Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Mohamed Raza Hassanali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif Ali Iddi amjulia hali Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Mohamed Raza Hassanali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/balozi-seif-ali-iddi-amjulia-hali.html
0 Response to "Balozi Seif Ali Iddi amjulia hali Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Mohamed Raza Hassanali"
Post a Comment