Loading...

WALLACE KARIA NA SALUM MADADI KUKAIMU NAFASI ZA RAIS NA KATIBU MKUU TFF, TWFA YAPITISHA MAJINA YA WAGOMBEA

Loading...
WALLACE KARIA NA SALUM MADADI KUKAIMU NAFASI ZA RAIS NA KATIBU MKUU TFF, TWFA YAPITISHA MAJINA YA WAGOMBEA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WALLACE KARIA NA SALUM MADADI KUKAIMU NAFASI ZA RAIS NA KATIBU MKUU TFF, TWFA YAPITISHA MAJINA YA WAGOMBEA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WALLACE KARIA NA SALUM MADADI KUKAIMU NAFASI ZA RAIS NA KATIBU MKUU TFF, TWFA YAPITISHA MAJINA YA WAGOMBEA
link : WALLACE KARIA NA SALUM MADADI KUKAIMU NAFASI ZA RAIS NA KATIBU MKUU TFF, TWFA YAPITISHA MAJINA YA WAGOMBEA

soma pia


WALLACE KARIA NA SALUM MADADI KUKAIMU NAFASI ZA RAIS NA KATIBU MKUU TFF, TWFA YAPITISHA MAJINA YA WAGOMBEA

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, iliyokutana leo Jumamosi Julai 01, 2017 kwenye ofisi za TFF, Dar es Salaam imempitisha Wallace Karia (kushoto) kuwa Kaimu Rais wa shirikisho. 
Kadhalika, Kamati hiyo ya Utendaji ya TFF, imempitisha Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi (kulia) kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa TFF.
Viongozi hao watakaimu nafasi hizo tajwa hadi hapo mahakama itakavyoamua kuhusu kesi zinazowakabili kwa sasa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Katibu Mkuu, Mwesigwa Selestine. 
Kamati ya Utendaji ya TFF, imekutana kwa dharura kwa mujibu wa Ibara ya 35 (1) inayosomwa pamoja na Ibara ya 35 (6) na kufanya uamuzi huo.

WAPITISHWA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI TWFA
Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mpira wa Miguu kwa Wanawake (TWFA), imetangaza majina ya wagombea 11 waliopitishwa kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa chama hicho utakaofanyika Agosti 5, mwaka huu mkoani Morogoro.
Majina ambayo yamepitishwa ni Amina Karuma, Rose Kisiwa, Somoe Ng’itu, Theresia Mung’ong’o, Hilda Masanche, Salma Wajeso, Zena Chande, Triphonia Temba, Mwamvita Kiyogoma, Jasmin Soudy na Chichi Mwidege.
Nafasi zinazogombewa ni Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Katibu Msaidizi, Mweka Hazina, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF na Wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji.

IMETOLEWA NA SHIRIKISHO 
LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA


Hivyo makala WALLACE KARIA NA SALUM MADADI KUKAIMU NAFASI ZA RAIS NA KATIBU MKUU TFF, TWFA YAPITISHA MAJINA YA WAGOMBEA

yaani makala yote WALLACE KARIA NA SALUM MADADI KUKAIMU NAFASI ZA RAIS NA KATIBU MKUU TFF, TWFA YAPITISHA MAJINA YA WAGOMBEA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WALLACE KARIA NA SALUM MADADI KUKAIMU NAFASI ZA RAIS NA KATIBU MKUU TFF, TWFA YAPITISHA MAJINA YA WAGOMBEA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/wallace-karia-na-salum-madadi-kukaimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WALLACE KARIA NA SALUM MADADI KUKAIMU NAFASI ZA RAIS NA KATIBU MKUU TFF, TWFA YAPITISHA MAJINA YA WAGOMBEA"

Post a Comment

Loading...