Loading...
title : Kikao maalum kujadili ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria chafanyika
link : Kikao maalum kujadili ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria chafanyika
Kikao maalum kujadili ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria chafanyika
Baadhi ya Wajumbe 11 kutoka Oman waliofika kwa ajili ya kufanya Tathmini ya Ukarabati mkubwa wa Majengo ya kihistoria Ikiwemo Baitul Ajaib wakiwa katika kikao maalum cha majadiliano katika Ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Kikwajuni mjini Unguja.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Dk,Amina Ameir Issa akitoa maelezo na kuonesha kwa njia ya Picha namna ya majengo ya kihistiria yalivyokua mwanzo katika kikao maalum cha majadiliano katika Ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Kikwajuni mjini Unguja.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Mahmoud Thabit Kombo akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Taifa ya Nyaraka na Kumbukumbu wa Oman Dk,Hemed Mohamed Al-Dhawiyan katika kikao maalum cha majadiliano katika Ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Kikwajuni mjini Unguja.
Balozi mdogo wa Oman alioko Zanzibar Dk Ahmad Hamoud Al-Habsi akitoa mchango wake katika kikao maalum cha majadiliano kuhusu Ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria katika Ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Kikwajuni mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Taifa ya Nyaraka na Kumbukumbu wa Oman Dk,Hemed Mohamed Al-Dhawiyan akitoa hotuba katika kikao maalum cha majadiliano kuhusu Ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria katika Ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Kikwajuni mjini Unguja.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba katika kikao maalum cha majadiliano kuhusu Ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria katika Ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Kikwajuni mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Kikao maalum kujadili ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria chafanyika
yaani makala yote Kikao maalum kujadili ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria chafanyika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kikao maalum kujadili ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria chafanyika mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/kikao-maalum-kujadili-ukarabati-mkubwa.html
0 Response to "Kikao maalum kujadili ukarabati mkubwa wa majengo ya kihistoria chafanyika"
Post a Comment