Loading...
title : Wana-Diaspora wa Kitanzania waishio nchini Ufaransa waibuka na "Ndoto"
link : Wana-Diaspora wa Kitanzania waishio nchini Ufaransa waibuka na "Ndoto"
Wana-Diaspora wa Kitanzania waishio nchini Ufaransa waibuka na "Ndoto"
Filamu ya Ndoto imechezwa na wana-Diaspora wa Kitanzania waishio nchini Ufaransa. Lengo kubwa la filamu hii ni kuelimisha jamii kwa ujumla katika suala zima la watoto na vijana wenye magonjwa hadimu.
Filamu hii ambayo inatoka kwa Maüa Association ikishirikiana na Mr Bodmas Studios inatarajiwa kuachiwa hivi karibuni.
Hivyo makala Wana-Diaspora wa Kitanzania waishio nchini Ufaransa waibuka na "Ndoto"
yaani makala yote Wana-Diaspora wa Kitanzania waishio nchini Ufaransa waibuka na "Ndoto" Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wana-Diaspora wa Kitanzania waishio nchini Ufaransa waibuka na "Ndoto" mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/wana-diaspora-wa-kitanzania-waishio.html
0 Response to "Wana-Diaspora wa Kitanzania waishio nchini Ufaransa waibuka na "Ndoto""
Post a Comment