Loading...
title : WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM.
link : WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM.
WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM.
Wakazi wa jijini Dar es Salaam waliotembelea Banda la Jeshi la Magereza, wakiangalia nafaka mbalimbali zinazolimwa katika mashamba ya Magereza nchini kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Askari wa Jeshi la Magereza, Happy Kweka, akiwaonyesha vitambaa vinavyotengenezwa na jeshi hilo wakazi waliotembelea Banda la jeshi hilo katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Wakazi wa jijini Dar es Salaam waliotembelea Banda la Jeshi la Magereza, wakiangalia vikapu vinavyotengenezwa katika viwanda vya ufumaji vya Magereza nchini kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.Kulia ni askari wa jeshi hilo,Issah Ramadhan
Hivyo makala WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM.
yaani makala yote WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/wananchi-watembelea-banda-la-jeshi-la.html
0 Response to "WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM."
Post a Comment