Loading...
title : matukio katika picha kutoka WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA)
link : matukio katika picha kutoka WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA)
matukio katika picha kutoka WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA)
Abiria wakiwa wamevalia maboya maalumu ya kujiokolea ndani ya Boti ya MV. Mkongo inayosimamiwa na Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA). Boti hiyo inatoa huduma za usafiri katika mto Rufiji kati ya Utete na Mkongo wilayani Rufiji Mkoani Pwani.
Boti za raia zilizokua zikitumika kuvusha abiria katika Mto Rufiji kati ya Utete na Mkongo kabla ya ujio wa Boti ya MV. Mkongo kuletwa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) zikiwa zimepakia abiria tayari kwa kuanza kuwavusha.
Boti za raia zilizokua zikitumika kuvusha abiria katika Mto Rufiji kati ya Utete na Mkongo kabla ya ujio wa Boti ya MV. Mkongo kuletwa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) zikiwa zimepakia abiria tayari kwa kuanza kuwavusha.
Mkuu wa Kivuko cha Magogoni/Kigamboni Mhandisi Lukombe King’ombe akizungumza na waandishi wa Habari wa TBC1 waliotembelea kivuko hicho leo asubuhi na kufanya nae mahojiano ya moja kwa moja kupitia kipindi cha Jambo Tanzania.
Hivyo makala matukio katika picha kutoka WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA)
yaani makala yote matukio katika picha kutoka WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala matukio katika picha kutoka WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-katika-picha-kutoka-wakala-wa.html
0 Response to "matukio katika picha kutoka WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA)"
Post a Comment