Loading...
title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA MSHINDI WA TUZO YA UINGEREZA
link : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA MSHINDI WA TUZO YA UINGEREZA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA MSHINDI WA TUZO YA UINGEREZA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Samuel Mwanyika, mshindi wa tuzo ya Stephen Thomas iliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya Watu wenye Mtindio wa Ubongo (Down's Syndrome Association) ya Uingereza kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 4, 2017. Katikati ni Mama wa mtoto huyo Sophie Mshangama.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Sophie Mshangama ambaye ni mama yake Samuel Mwanyika aliyeshinda tuzo ya Stephen Thomas iliyotolewa Juni 8, 2017 na Taasisi ya Kimataifa ya Watu wenye Mtindio wa Ubongo (Down's Syndrome Association) ya Uingereza kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Samuel Mwanyika (wa pili kushoto), mshindi wa tuzo ya Stephen Thomas iliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya Watu wenye Mtindio wa Ubongo (Down's Syndrome Association) ya Uingereza kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 4, 2017. Wa kwanza kushoto ni Elias Mwanyika (kaka yake Samuel) akiwa na picha iliyoshinda tuzo hiyo na wa kwanza kulia ni Sophie Mshangama ambaye ni mama yake Samuel.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia) akiwa na Samuel Mwanyika (wa pili kushoto), mshindi wa tuzo ya Stephen Thomas iliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya Watu wenye Mtindio wa Ubongo ya Uingereza kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 4, 2017. Wa kwanza kushoto ni Elias Mwanyika (kaka yake Samuel) akiwa na picha iliyoshinda tuzo hiyo na wa kwanza kulia ni Sophie Mshangama ambaye ni mama yake Samuel.
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA MSHINDI WA TUZO YA UINGEREZA
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA MSHINDI WA TUZO YA UINGEREZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA MSHINDI WA TUZO YA UINGEREZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-akutana-na.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA MSHINDI WA TUZO YA UINGEREZA"
Post a Comment