Loading...

WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA

Loading...
WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA
link : WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA

soma pia


WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage, (kulia), akipeana mikono na Meneja Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, leo Julai 1, 2017.
 Waziri Mwijage a,kizungumza na wafanyakazi wa PPF kwenye banda la Mfuko huo.
 Waziri Mwijage akipeana mikono na Afisa Uendeshaji Mwandamizi wa PPF, Bi. Pauline Msanga
 Waziri Mwijage akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF baada ya kutembelea banda lao
 Meneja Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele, (kushoto), akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Bw. Richard Kayombo alipotembela banda la Mfuko huo
 Wafanyakazi wa PPF wakiwahudumia wananchi waliotembela banda hilo
  Wafanyakazi wa PPF wakiwahudumia wananchi waliotembela banda hilo
Waziri Mwijage, akiagana na wafanyakazi wa PPF baada ya kutembelea banda hilo. Kulia ni Mkuu Kitengo cha Mawasilaino ya Serikali wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Ben Mwaipaja.


Hivyo makala WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA

yaani makala yote WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/waziri-mwijage-aipongeza-ppf-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA"

Post a Comment

Loading...