Loading...

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afanya ziara ya kushitukiza Ofisi za TRA na vituo vya mafuta Kigamboni

Loading...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afanya ziara ya kushitukiza Ofisi za TRA na vituo vya mafuta Kigamboni - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afanya ziara ya kushitukiza Ofisi za TRA na vituo vya mafuta Kigamboni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afanya ziara ya kushitukiza Ofisi za TRA na vituo vya mafuta Kigamboni
link : Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afanya ziara ya kushitukiza Ofisi za TRA na vituo vya mafuta Kigamboni

soma pia


Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afanya ziara ya kushitukiza Ofisi za TRA na vituo vya mafuta Kigamboni

 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dkt. Philip Isdor  Mpango  (Mb)  akiongea na mmoja wa wananchi (anayemuonesha karatasi ) waliofika kulipa kodi ya majengo katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) – Kigamboni, ambapo alieleza kuridhishwa na utendaji wa watumishi katika mamlaka hiyo.
 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), aliyevaa miwani na kukunja mikono, akiwa amejichanganya katika kundi la wakazi wa mji wa Kigamboni waliojitokeza kulipa kodi ya majengo katika Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania-Kigamboni, akiwa na lengo la kuchunguza namna wananchi wanavyopata huduma. 

 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dkt. Philip Isdor Mpango  (Mb) (kulia) akisalimiana na mmoja wa wakazi wa Mji wa Kigamboni waliojitokeza kulipa kodi katika Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania TRA-Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dkt. Philip Isdor  Mpango  (Mb), akiwapongeza na kuwashukuru wananchi wa Kigamboni waliojitokeza kulipa kodi ya majengo na kutoa rai kwa wananchi kujenga utamaduni wa kulipa kodi kwa hiari ili kufikia uchumi wa viwanda na kuendesha huduma za jamii.
 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiamuru Kituo cha Mafuta cha Mjimwema Kigamboni kifungwe, baada ya kubaini kuwa wamiliki wamekiuka masharti kwa kutotumia mashine maalumu za kielektroniki ya kutolea risiti hatua inayoikosesha Serikali mapato ya kodi.




Hivyo makala Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afanya ziara ya kushitukiza Ofisi za TRA na vituo vya mafuta Kigamboni

yaani makala yote Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afanya ziara ya kushitukiza Ofisi za TRA na vituo vya mafuta Kigamboni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afanya ziara ya kushitukiza Ofisi za TRA na vituo vya mafuta Kigamboni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/waziri-wa-fedha-na-mipango-dkt-philip.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afanya ziara ya kushitukiza Ofisi za TRA na vituo vya mafuta Kigamboni"

Post a Comment

Loading...