Loading...

WIZARA YA AFYA YAZINDUA MPANGO WA KUTEMBELEA HOSPITALI ZA UMMA NCHINI

Loading...
WIZARA YA AFYA YAZINDUA MPANGO WA KUTEMBELEA HOSPITALI ZA UMMA NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA AFYA YAZINDUA MPANGO WA KUTEMBELEA HOSPITALI ZA UMMA NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA AFYA YAZINDUA MPANGO WA KUTEMBELEA HOSPITALI ZA UMMA NCHINI
link : WIZARA YA AFYA YAZINDUA MPANGO WA KUTEMBELEA HOSPITALI ZA UMMA NCHINI

soma pia


WIZARA YA AFYA YAZINDUA MPANGO WA KUTEMBELEA HOSPITALI ZA UMMA NCHINI

Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imezitaka hospitali nchini kutumia miongozo katika kutekeleza shughuli mbalimbali za huduma za afya  pamoja na kuimarisha mifumo ya TEHAMA ili kuwapo kwa mawasiliano kati ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na hospitali nyingine za rufaa nchini.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa wizara hiyo Dk. Mpoki Ulisubisya wakati akizindua mpango wa kufuatilia utoaji wa huduma za afya yakiwamo mafanikio na changamoto katika hospitali za umma nchini.

Dk Ulisubisya amesema mpango wa wizara yake ni kuzitembelea hospitali za umma nchini utaanzia kwenye hospitali za kibingwa ili ziwe kitovu cha kutoa mafunzo kwa hospitali nyingine nchini.

“ Malalamiko ni mengi yanapaswa kushughulikiwa kwa kuwekwa mifumo imara ya utekelezaji wa shughuli za huduma za afya kwa lengo la kuzuia kushuka kwa ubora wa huduma. Pia, hali hii itasaidia kuimarisha maadili miongoni mwa watumishi,” amesema Dk Ulisubisya wakati akizindua mpango huo leo.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Mpoki Ulisubisya akizungumza katika mkutano wa kuzindua mpango wa kuzitembelea hospitali za umma nchini ili kujua mafanikio na changamoto zilizopo kwenye hospitali hizo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru na Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Tiba, Dk. Dorothy Gwajima wa wizara hiyo. Mpango huo umeandaliwa na wizara ya afya na ziara hiyo imeanza rasmi leo Muhimbili.
 Baadhi ya wataalamu wa afya kutoka Muhimbili na taasisi nyingine wakimsikiliza Katibu Mkuu, Dk Ulisubisya katika mkutano wa uzinduzi uliofanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
 Kaimu Mkurugenzi wa Tiba, Dk. Dorothy Gwajima (kushoto) wa wizara hiyo pamoja na wataalamu wengine wakifuatilia mkutano huo leo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza kabla ya kuzinduliwa kwa mpango wa kutembelea hospitali za umma ili kujua mafanikio na changamoto  zilizopo kwenye hospitali hizo.
 Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali, Dk Juma Mfinanga wa Muhimbili akimwelekeza jambo Kaimu Mkurugenzi wa Tiba, Dk. Dorothy Gwajima (kushoto) wa wizara ya Afya wakati wa ziara ya kutembelea hospitali hiyo leo. Wengine ni maofisa kutoka wizara ya afya na hospitali ya Muhimbili.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WIZARA YA AFYA YAZINDUA MPANGO WA KUTEMBELEA HOSPITALI ZA UMMA NCHINI

yaani makala yote WIZARA YA AFYA YAZINDUA MPANGO WA KUTEMBELEA HOSPITALI ZA UMMA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA AFYA YAZINDUA MPANGO WA KUTEMBELEA HOSPITALI ZA UMMA NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/wizara-ya-afya-yazindua-mpango-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIZARA YA AFYA YAZINDUA MPANGO WA KUTEMBELEA HOSPITALI ZA UMMA NCHINI"

Post a Comment

Loading...