Loading...

WAZIRI MKUU AWATAKA WAWEKEZAJI KUFUATA SHERIA

Loading...
WAZIRI MKUU AWATAKA WAWEKEZAJI KUFUATA SHERIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AWATAKA WAWEKEZAJI KUFUATA SHERIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AWATAKA WAWEKEZAJI KUFUATA SHERIA
link : WAZIRI MKUU AWATAKA WAWEKEZAJI KUFUATA SHERIA

soma pia


WAZIRI MKUU AWATAKA WAWEKEZAJI KUFUATA SHERIA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watu wote wenye nia ya kutaka kuwekeza katika miradi mbalimbali nchini Tanzania kuhakikisha wanafuata sheria, kanuni na taratibu. Ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Agosti 29, 2017 wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais (Uendelezaji Bishara) wa kampuni ya PIRIOU, Bw. Michel Perrin. 
 Waziri Mkuu amekutana na Bw. Perrin jijini Paris nchini Ufaransa kupitia ofisi ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa. Kampuni ya PIRIOU inataka kuja nchini kuwekeza katika utengenezaji na ukarabati wa meli. Akizungumza na muwekezaji huyo Waziri Mkuu alimshukuru kwa nia yake ya kutaka kuwekeza nchini, ambapo alimtaka afuate sheria, kanuni na taratibu za uwekezaji nchini. “Tanzania ni sehemu nzuri ya uwekezaji kwa sababu kuna fursa nyingi. 
Pia ni nchi yenye amani na utulivu wa kisiasa pamoja na mazingira mazuri ya uwekezaji hivyo nakukaribisha sana.” 
 Kwa upande wake Bw. Perrin amesema ameamua kuja kuwekeza nchini kwa kuwa Tanzania ni nchi salama na kwamba anauhakika wa kupata soko ndani ya nchi pamoja na mataifa jiraji. Amesema anaamini uwekezaji wake nchini Tanzania utakuwa na tija, hivyo ameahidi kufanya kazi kwa ushirikiano wa karibu na Serikali na pia atahakikisha anafuata sheria zote za nchi. 
 Pia Bw. Perrin alitumia fursa hiyo kumshukuru Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Balozi Samwel Shelukindo kutokana na ushirikiano anaompa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. Naye Balozi Shelukindo amesema atahakikisha anaendelea kutafuta wafanyabiashara mbalimbali na kuwashawishi waje kuwekeza katika sekta mbalimbali nchini.



Hivyo makala WAZIRI MKUU AWATAKA WAWEKEZAJI KUFUATA SHERIA

yaani makala yote WAZIRI MKUU AWATAKA WAWEKEZAJI KUFUATA SHERIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWATAKA WAWEKEZAJI KUFUATA SHERIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/waziri-mkuu-awataka-wawekezaji-kufuata.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AWATAKA WAWEKEZAJI KUFUATA SHERIA"

Post a Comment

Loading...