Loading...

ASILIMIA KUBWA YA WANANCHI WAISHIO VIJIJINI HAWANA ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU HUDUMA ZA MAWASILIANO -TCRA CCC

Loading...
ASILIMIA KUBWA YA WANANCHI WAISHIO VIJIJINI HAWANA ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU HUDUMA ZA MAWASILIANO -TCRA CCC - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ASILIMIA KUBWA YA WANANCHI WAISHIO VIJIJINI HAWANA ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU HUDUMA ZA MAWASILIANO -TCRA CCC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ASILIMIA KUBWA YA WANANCHI WAISHIO VIJIJINI HAWANA ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU HUDUMA ZA MAWASILIANO -TCRA CCC
link : ASILIMIA KUBWA YA WANANCHI WAISHIO VIJIJINI HAWANA ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU HUDUMA ZA MAWASILIANO -TCRA CCC

soma pia


ASILIMIA KUBWA YA WANANCHI WAISHIO VIJIJINI HAWANA ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU HUDUMA ZA MAWASILIANO -TCRA CCC

 Mjumbe wa Baraza na Mwenyekiti wa kamati ya Elimu na Uhamasishaji Baraza la Ushauri la Watumiaji na Huduma za Mawasiliano,John Njawa akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar kuhusiana na utafiti walioufanya kwa Watumiaji wa huduma za mawasiliano hivi karibuni wakishirikiana na Chuo cha Mipango cha Dododoma.Kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji na Huduma za Mawasiliano,Mary Shao Msuya na kushoto ni Mjumbe wa Baraza na Kamati ya Elimu Uhamisishaji -Baraza la Ushauri la Watumiaji na Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC),Nyanda Shuji
 Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano huo
 Mjumbe wa Baraza na Mwenyekiti wa kamati ya Elimu na Uhamasishaji Baraza la Ushauri la Watumiaji na Huduma za Mawasiliano ((TCRA CCC)),John Njawa akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa Waandishi aaliyeuliza swali kuhusiana na utafiti huo walioufanya,mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar.Kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji na Huduma za Mawasiliano,Mary Shao Msuya.
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji na Huduma za Mawasiliano,Mary Shao Msuya pamoja na Mjumbe wa Baraza na Kamati ya Elimu Uhamisishaji -Baraza la Ushauri la Watumiaji na Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC),Nyanda Shuji (kushoto),wakionesha vitabu vyenye utafiti uliofanywa na Baraza hilo kwa Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano,wakishirikiana na chuo cha Mipango cha Dodoma.

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji na Huduma za Mawasiliano,Mary Msuya alisema kuwa utafiti huo umefanywa ikiwa ni moja ya mipango ya baraza hilo kwa mwaka 2016/2017.

Katika utafiti huo,Mary alisema kuwa utafiti huo ulifanyika katika wilaya tano,ambazo ni Manispaa ya Dodoma (Mjini),Chamwino (vijijini),Mvomero (vijijini),Temeke Manispaa (mjini),na Kaskazini A Unguja,Zanzibar (vijijini),alisema na kuongeza kuwa watu walioshirikishwa kwenye huduma hizo za mawasiliano ni 697,umri kuanzia miaka 15,huku asilimia 50.5 wakiwa wanafunzi wa elimu ya shule ya msingi.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji na Huduma za Mawasiliano,Mary Shao Msuya akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar kuhusiana na utafiti walioufanya kwa Watumiaji wa huduma za mawasiliano hivi karibuni wakishirikiana na Chuo cha Mipango cha Dododoma.


Hivyo makala ASILIMIA KUBWA YA WANANCHI WAISHIO VIJIJINI HAWANA ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU HUDUMA ZA MAWASILIANO -TCRA CCC

yaani makala yote ASILIMIA KUBWA YA WANANCHI WAISHIO VIJIJINI HAWANA ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU HUDUMA ZA MAWASILIANO -TCRA CCC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ASILIMIA KUBWA YA WANANCHI WAISHIO VIJIJINI HAWANA ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU HUDUMA ZA MAWASILIANO -TCRA CCC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/asilimia-kubwa-ya-wananchi-waishio.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ASILIMIA KUBWA YA WANANCHI WAISHIO VIJIJINI HAWANA ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU HUDUMA ZA MAWASILIANO -TCRA CCC"

Post a Comment

Loading...