Loading...
title : MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA
link : MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA
MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akimwapisha , Mbunge wa Simanjiro, James Millya, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (Kulia) akimwapisha Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akimwapisha mbunge wa Serengeti, Marwa Ryoba Chacha, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi baada ya Mbunge huyo kuapishwa, bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mbunge huyo kuapishwa, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Iramba Magaharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/matukio-mbalimbali-ya-bungeni-leo.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA"
Post a Comment