Loading...

Bandari, Polisi na Uhamiaji watakiwa kukagua mizigo yote ya abiria bandarini

Loading...
Bandari, Polisi na Uhamiaji watakiwa kukagua mizigo yote ya abiria bandarini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bandari, Polisi na Uhamiaji watakiwa kukagua mizigo yote ya abiria bandarini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bandari, Polisi na Uhamiaji watakiwa kukagua mizigo yote ya abiria bandarini
link : Bandari, Polisi na Uhamiaji watakiwa kukagua mizigo yote ya abiria bandarini

soma pia


Bandari, Polisi na Uhamiaji watakiwa kukagua mizigo yote ya abiria bandarini

Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), Jeshi la Polisi kikosi cha Bandari pamoja na Jeshi la Uhamiaji wametakiwa kuhakikisha wanakagua abiria na mizigo yote inayopita katika bandari zote nchini ili kuhakikisha abiria na mizigo yote inafuata taratibu zote zilizowekwa kwa mujibu wa sheria jambo ambalo litaimarisha usalama bandarini. 
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun katika ziara ya kukagua namna watalii wanavyopokelewa katika bandari ya Dar es Salaam. 
Katika ziara hiyo aliambatana na Naibu Waziri wa Maliasili na utalii Mhandisi Ramo Makani na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawasiliano Mhandisi Edwini Ngonyani. Kwa upande wake Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhandisi Ramo Makani amesema ni muhimu kuweka takwimu vizuri za watalii wanaopita katika bandari zote ili kujua idadi kamili ya watalii wanaokuja kwa kutumia njia ya maji. 
Akielezea jinsi wanavyowapokea watalii wanaokuja kwa meli katika bandari ya Dar Es Salaam, Meneja wa Operesheni amesema wamekuwa wakikutana na wadau kila siku ili kuhakikisha wanaweka mazingira mazuri ya ujio wa watalii nchini. Manaibu Waziri hao pia walitembelea Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere Terminal II na kukagua ujenzi wa Terminal III unaoendelea.



Hivyo makala Bandari, Polisi na Uhamiaji watakiwa kukagua mizigo yote ya abiria bandarini

yaani makala yote Bandari, Polisi na Uhamiaji watakiwa kukagua mizigo yote ya abiria bandarini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bandari, Polisi na Uhamiaji watakiwa kukagua mizigo yote ya abiria bandarini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/bandari-polisi-na-uhamiaji-watakiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Bandari, Polisi na Uhamiaji watakiwa kukagua mizigo yote ya abiria bandarini"

Post a Comment

Loading...