Loading...
title : Breaking nyuzzzz......: Odinga afungua kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Kenya
link : Breaking nyuzzzz......: Odinga afungua kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Kenya
Breaking nyuzzzz......: Odinga afungua kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Kenya
Aliyekuwa Mgombea Urais wa Kenya kupitia umoja wa NASA, Raila Odinga hatimaye amefungua kesi katika Mahakama ya Juu (Supreme Court) ya nchi hiyo kupinga matokeo ya urais wa Kenya saa 4:30 usiku yaani saa moja na nusu kabla ya deadline ya Saa 6 kamili ya usiku wa leo. Election Petition ina viambatanisho (annexure) vyenye kurasa zaidi 9, 000.
Hivyo makala Breaking nyuzzzz......: Odinga afungua kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Kenya
yaani makala yote Breaking nyuzzzz......: Odinga afungua kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Kenya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Breaking nyuzzzz......: Odinga afungua kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Kenya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/breaking-nyuzzzz-odinga-afungua-kesi.html
0 Response to "Breaking nyuzzzz......: Odinga afungua kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Kenya"
Post a Comment