Loading...

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA TROIKA MBILI MJINI PRETORIA,NCHINI AFRIKA KUSINI

Loading...
MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA TROIKA MBILI MJINI PRETORIA,NCHINI AFRIKA KUSINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA TROIKA MBILI MJINI PRETORIA,NCHINI AFRIKA KUSINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA TROIKA MBILI MJINI PRETORIA,NCHINI AFRIKA KUSINI
link : MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA TROIKA MBILI MJINI PRETORIA,NCHINI AFRIKA KUSINI

soma pia


MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA TROIKA MBILI MJINI PRETORIA,NCHINI AFRIKA KUSINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassana , leo tarehe 18 Agosti 2017 amehudhuria Mkutano wa Troika Mbili za Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC na Troika ya SADC kwa ajili ya kujadili hali ya Siasa , Ulinzi na Usalama katika Kanda.

Mkutano huu umejadili zaidi hali ya Siasa nchini Lesotho na namna ya kuisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambayo inatarajiwa kufanya Uchaguzi Mkuu.

Taarifa kamili ya Mkutano huu itawasilishwa kesho Jumamosi tarehe 19 Agosti 2017, katika Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC.

Double Troika inahusisha nchi wanachama Sita ambao kwa sasa ni Swaziland, Tanzania, Afrika Kusini, Angola, Botswana na Msumbiji.

Imetolewa na
Ofisi ya Makamu wa Rais
Pretoria, Afrika Kusini
18 Agosti, 2017.
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) kabla ya Mkutano wa Troika Mbili za Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  SADC na Troika ya SADC kwa ajili ya kujadili hali ya Siasa , Ulinzi na Usalama katika Kanda.
Mkutano huo unafanyika mjini Pretoria, Afrika Kusini.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ukumbi wa OR Thambo mjini PretoRia,Afrika ya Kusini tayari kuhudhuria Mkutano wa Troika Mbili za Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  SADC na Troika ya SADC kwa ajili ya kujadili hali ya Siasa , Ulinzi na Usalama katika Kanda


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA TROIKA MBILI MJINI PRETORIA,NCHINI AFRIKA KUSINI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA TROIKA MBILI MJINI PRETORIA,NCHINI AFRIKA KUSINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA TROIKA MBILI MJINI PRETORIA,NCHINI AFRIKA KUSINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-ahudhuria-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA TROIKA MBILI MJINI PRETORIA,NCHINI AFRIKA KUSINI"

Post a Comment

Loading...