DEREVA WA BASI LA MWENDOKASI MATATANI KWA KUKIUKA SHERIA, WENGINE WAONYWA.... - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DEREVA WA BASI LA MWENDOKASI MATATANI KWA KUKIUKA SHERIA, WENGINE WAONYWA...., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
DEREVA WA BASI LA MWENDOKASI MATATANI KWA KUKIUKA SHERIA, WENGINE WAONYWA....link :
DEREVA WA BASI LA MWENDOKASI MATATANI KWA KUKIUKA SHERIA, WENGINE WAONYWA....
DEREVA WA BASI LA MWENDOKASI MATATANI KWA KUKIUKA SHERIA, WENGINE WAONYWA....
Pichani ni dereva wa gari la mwendokasi la DARTS namba za usajili T.124 DGW akihojiwa baada ya kufanya kosa la kupita taa nyekundu eneo la Kibo barabara ya Morogoro jijini Dar es salaam leo asubuhi wakati akitokea Kimara kuelekea Kivukoni. Baada ya kukamatwa hatua za kufikishwa mahakamani zinaendelea.
Mkuu wa usalama barabarani kanda maalum yaDar es salaam ACP Awadhi Haji amesema baada ya kumkamata dereva huyo kwamba baadhi ya madereva wa magari hayo wamekuwa wakifanya makosa ya usalama barabarani mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kupita taa nyekundu, kutosimama kwenye vivuko vya waenda kwa miguu na kadhalika wakidhani kuwa wao hawawezi kukamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.
"Hivyo naelekeza kuwa madereva hao wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali kama madereva wengine pindi wanapobainika kuvunja sheria za barabani" ameamuru ACP Awadhi Haji ambaye huwa hana masikhara awapo kazini.
Hivyo makala DEREVA WA BASI LA MWENDOKASI MATATANI KWA KUKIUKA SHERIA, WENGINE WAONYWA....
yaani makala yote DEREVA WA BASI LA MWENDOKASI MATATANI KWA KUKIUKA SHERIA, WENGINE WAONYWA.... Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DEREVA WA BASI LA MWENDOKASI MATATANI KWA KUKIUKA SHERIA, WENGINE WAONYWA.... mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/dereva-wa-basi-la-mwendokasi-matatani.html
0 Response to "DEREVA WA BASI LA MWENDOKASI MATATANI KWA KUKIUKA SHERIA, WENGINE WAONYWA...."
Post a Comment