Loading...

DKT. KALEMANI AFANYA MKUTANO NA WATENDAJI WA NISHATI NA MADINI

Loading...
DKT. KALEMANI AFANYA MKUTANO NA WATENDAJI WA NISHATI NA MADINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. KALEMANI AFANYA MKUTANO NA WATENDAJI WA NISHATI NA MADINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. KALEMANI AFANYA MKUTANO NA WATENDAJI WA NISHATI NA MADINI
link : DKT. KALEMANI AFANYA MKUTANO NA WATENDAJI WA NISHATI NA MADINI

soma pia


DKT. KALEMANI AFANYA MKUTANO NA WATENDAJI WA NISHATI NA MADINI

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani amefanya kikao cha kazi na wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Madini pamoja na Taasisi ikiwa ni pamoja na Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA), Chuo cha Madini Dodoma (MRI), Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO). Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kujadili mafanikio na changamoto katika utendaji kazi wa Wizara.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akizungumza na watendaji pamoja na wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi zake (hawapo pichani) katika kikao hicho. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo na kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. James Mdoe.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Prof. James Mdoe (kushoto) akielezea mafanikio ya sekta za nishati na madini nchini katika kikao hicho.
Sehemu ya watendaji na wafanyakazi kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi zake wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (hayupo pichani) katika kikao hicho.



Hivyo makala DKT. KALEMANI AFANYA MKUTANO NA WATENDAJI WA NISHATI NA MADINI

yaani makala yote DKT. KALEMANI AFANYA MKUTANO NA WATENDAJI WA NISHATI NA MADINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. KALEMANI AFANYA MKUTANO NA WATENDAJI WA NISHATI NA MADINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/dkt-kalemani-afanya-mkutano-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DKT. KALEMANI AFANYA MKUTANO NA WATENDAJI WA NISHATI NA MADINI"

Post a Comment

Loading...