Loading...
title : DKT. SHEIN AKUTANA NA MENEJA WA CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD
link : DKT. SHEIN AKUTANA NA MENEJA WA CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD
DKT. SHEIN AKUTANA NA MENEJA WA CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na mgeni wake Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd Nd,Xu Xinpei alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na mgeni wake Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd Nd,Xu Xinpei wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akifuatana na mgeni wake Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd Nd,Xu Xinpei baada ya mazungumzo yao wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.Picha na Ikulu, Zanzibar.
Hivyo makala DKT. SHEIN AKUTANA NA MENEJA WA CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD
yaani makala yote DKT. SHEIN AKUTANA NA MENEJA WA CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. SHEIN AKUTANA NA MENEJA WA CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/dkt-shein-akutana-na-meneja-wa-china.html
0 Response to "DKT. SHEIN AKUTANA NA MENEJA WA CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD"
Post a Comment