Loading...
title : Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja
link : Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja
Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kuhusu mawasiliano ya KMKM wakati wa kutoa huduma inapotokea maafa baharini ,baada ya kuzindua jengo la kituo cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A” Unguja leo,(kushoto) Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir,(kulia) Mkuu wa KMKM Komodoo Mussa Hassan Mussa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuzindua jengo la kituo cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A” Unguja leo,(kushoto) Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir,(kulia) Mkuu wa KMKM Komodoo Mussa Hassan Musa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wanchama wa Chama cha Mapinduzi CCM alipokuwa akisalimiana nao leo baada ya kuwekaji wa Jiwe la msingi Maskani ya CCM Tushikamane,katika Kijiji cha Nungwi Wilaya ya Kaskazinmi “A” Unguja akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Mendeleo katika Wilaya hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katuikati) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Ndg. Maneno Mohamed Maneno (kushoto) wakati alipotembelea kukagua Jengo la Ofisi ya Bandari Mkokotoni leo pamoja na Eneo Litakalojengwa Tuta la Bandari ya Mkokotoni akiwa katika ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja leo. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja
yaani makala yote Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/dkt-shein-atembelea-miradi-ya-maendeleo.html
0 Response to "Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja"
Post a Comment