Loading...
title : WAZIRI MKUU NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM) KIGOMA
link : WAZIRI MKUU NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM) KIGOMA
WAZIRI MKUU NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM) KIGOMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mke wake Mary wakimjulia hali leo August 13.2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Josephine Ngezabuka .ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma. katikati mwenye miwani ni Naibu spika Dkt. Tulia Akson.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Naibu Spika Dr Tulia Akson mwenye miwani akiwa na Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako (c) pamoja na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Catherine Magige wakimjulia hali leo August 13.2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Josephine Ngezabuka ,ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma.
Hivyo makala WAZIRI MKUU NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM) KIGOMA
yaani makala yote WAZIRI MKUU NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM) KIGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM) KIGOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/waziri-mkuu-na-mkewe-wamjulia-hali.html
0 Response to "WAZIRI MKUU NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM) KIGOMA"
Post a Comment