Loading...

DKT. TIZEBA ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA LEO MJINI DODOMA.

Loading...
DKT. TIZEBA ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA LEO MJINI DODOMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. TIZEBA ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA LEO MJINI DODOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. TIZEBA ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA LEO MJINI DODOMA.
link : DKT. TIZEBA ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA LEO MJINI DODOMA.

soma pia


DKT. TIZEBA ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA LEO MJINI DODOMA.



IMGL8670
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Charles Tizeba (katikati)akimsikiliza  Afisa Habari wa Bunge Ndg. Patson Sobha (kushoto) wakati alipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea  kwenye Viwanja vya Nzunguni, Mjini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Ndg. Deogratius Ndejembi
IMGL8673
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Charles Tizeba akiuliza swali baada kutembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea kwenye Viwanja vya Nzunguni, Mjini Dodoma. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Ndg. Deogratius Ndejembi na kulia ni Afisa Habari wa Bunge Ndg. Patson Sobha.
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Charles Tizeba akisalimiana na Katibu Msaidizi wa Bunge, Ndg. Bakari kishoma wakati alipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea  kwenye Viwanja vya Nzunguni, Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala DKT. TIZEBA ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA LEO MJINI DODOMA.

yaani makala yote DKT. TIZEBA ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA LEO MJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. TIZEBA ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA LEO MJINI DODOMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/dkt-tizeba-atembelea-banda-la-bunge_5.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT. TIZEBA ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA LEO MJINI DODOMA."

Post a Comment

Loading...