Loading...

Hakuna mgogoro wowote pori Tengefu la Mkungunero-DC Kondoa

Loading...
Hakuna mgogoro wowote pori Tengefu la Mkungunero-DC Kondoa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hakuna mgogoro wowote pori Tengefu la Mkungunero-DC Kondoa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hakuna mgogoro wowote pori Tengefu la Mkungunero-DC Kondoa
link : Hakuna mgogoro wowote pori Tengefu la Mkungunero-DC Kondoa

soma pia


Hakuna mgogoro wowote pori Tengefu la Mkungunero-DC Kondoa

BAADA ya baadhi ya vyombo vya habari kutangaza kuwepo mgogoro kati ya wananchi na serikali katika Pori tengefu la Mkungunero wilayani Kondoa mkoa wa Dodoma, mkuu wa wilaya hiyo amejitokeza na kudai taarifa hizo hazina ukweli.


Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Bibi Sezaria Makota, alisema habari zilizosambazwa kuhusiana na wananchi kunyanyaswa katika pori la Mkungunero zinazungumzia matukio ya zamani ambayo kimsingi yameshapatiwa ufumbuzi na serikali.



“Katika taarifa zilizotolewa kwenye vyombvo vya habari imeelezwa kuwa viongozi na wanakijiji katika Kijiji cha Kisondoko na Kata ya KK kuwa wananyanyaswa na kuna wasichana walisema wamebakwa lakini nakanusha taarifa hizi si za kweli, wafanyakazi wa pori la Mkongonero wanajiheshimu na wanafanya kazi kwa nidhamu,” alisema Bi. Makota na kuongeza:



“Nilipofika Kondoa mwaka jana (2016) nilisikia hayo malalamiko lakini nilipofuatilia nikabaini si kweli, viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama waliitisha mkutano kuwahoji wanakijiji wanaosema walinyanyashwa, kupigwa na kubakwa, kulikuwepo na madaktari waliowafanyia vipimo lakini hakuna aliyeonekana amebakwa.”






Hivyo makala Hakuna mgogoro wowote pori Tengefu la Mkungunero-DC Kondoa

yaani makala yote Hakuna mgogoro wowote pori Tengefu la Mkungunero-DC Kondoa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hakuna mgogoro wowote pori Tengefu la Mkungunero-DC Kondoa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/hakuna-mgogoro-wowote-pori-tengefu-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Hakuna mgogoro wowote pori Tengefu la Mkungunero-DC Kondoa"

Post a Comment

Loading...