Loading...

Rais Mstaafu Kikwete Atunikiwa Tuzo Kwa Kuwapa Kipaumbele Wanawake katika Uongozi.

Loading...
Rais Mstaafu Kikwete Atunikiwa Tuzo Kwa Kuwapa Kipaumbele Wanawake katika Uongozi. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Mstaafu Kikwete Atunikiwa Tuzo Kwa Kuwapa Kipaumbele Wanawake katika Uongozi., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Mstaafu Kikwete Atunikiwa Tuzo Kwa Kuwapa Kipaumbele Wanawake katika Uongozi.
link : Rais Mstaafu Kikwete Atunikiwa Tuzo Kwa Kuwapa Kipaumbele Wanawake katika Uongozi.

soma pia


Rais Mstaafu Kikwete Atunikiwa Tuzo Kwa Kuwapa Kipaumbele Wanawake katika Uongozi.

Windhoek, Namibia

Rais Mstaafu  Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametunukiwa Tuzo  ya Uongozi Uliotukuka na Taasisi ya Women Advacement for Economic and Leadership Empowerement Foundation (WAELE), kwa kutambua mchango wake kwa Kuwapa Wanawake Kipaumbele katika Uongozi.

Tuzo hiyo ilikabidhiwa na Waziri Mkuu wa Namibia, Mheshimiwa Saara Kuugongelwa katika Mkutano wa 8 wa WAELE uliofanyika tarehe 2-3 Novemba, 2018 jijini Windhoek ambao ulijadili "Nafasi ya Mwanamke katika Amani na Maendeleo Endelevu Afrika".

 Rais Mstaafu Kikwete ameishukuru WAELE kwa tuzo hiyo na kwa kutambua mchango wake katika kusukuma agenda ya ushiriki wa wanawake katika uongozi. Amesema kuwa, hakufanya hivyo kwa kutegemea kupata tuzo siku moja, bali alitimiza wajibu wake wa uongozi wa kuhakikisha kuwa wanawake wanapata nafasi za uongozi kwa kuwa ni haki yao na sio fadhila. Amewashukuru wanawake aliowateua kaika uongozi kwa kutomuangusha katika madaraka aliyowapa. 
 Rais Mstaafu  Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  akizungumza mara baada ya kutunukiwa Tuzo  ya Uongozi Uliotukuka na Taasisi ya Women Advacement for Economic and Leadership Empowerement Foundation (WAELE), kwa kutambua mchango wake kwa Kuwapa Wanawake Kipaumbele katika Uongozi.
 Rais Mstaafu  Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitunikiwa Tuzo  ya Uongozi Uliotukuka na Taasisi ya Women Advacement for Economic and Leadership Empowerement Foundation (WAELE), kwa kutambua mchango wake kwa Kuwapa Wanawake Kipaumbele katika Uongozi.Tuzo hiyo ilikabidhiwa na Waziri Mkuu wa Namibia, Mheshimiwa Saara Kuugongelwa katika Mkutano wa 8 wa WAELE uliofanyika tarehe 2-3 Novemba, 2018 jijini Windhoek ambao ulijadili "Nafasi ya Mwanamke katika Amani na Maendeleo Endelevu Afrika".



Hivyo makala Rais Mstaafu Kikwete Atunikiwa Tuzo Kwa Kuwapa Kipaumbele Wanawake katika Uongozi.

yaani makala yote Rais Mstaafu Kikwete Atunikiwa Tuzo Kwa Kuwapa Kipaumbele Wanawake katika Uongozi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Mstaafu Kikwete Atunikiwa Tuzo Kwa Kuwapa Kipaumbele Wanawake katika Uongozi. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/rais-mstaafu-kikwete-atunikiwa-tuzo-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Mstaafu Kikwete Atunikiwa Tuzo Kwa Kuwapa Kipaumbele Wanawake katika Uongozi."

Post a Comment

Loading...