Loading...

Innocent Nyalia wa Dodoma achomoza na Milioni 20 za Biko

Loading...
Innocent Nyalia wa Dodoma achomoza na Milioni 20 za Biko - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Innocent Nyalia wa Dodoma achomoza na Milioni 20 za Biko, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Innocent Nyalia wa Dodoma achomoza na Milioni 20 za Biko
link : Innocent Nyalia wa Dodoma achomoza na Milioni 20 za Biko

soma pia


Innocent Nyalia wa Dodoma achomoza na Milioni 20 za Biko

MKAZI wa Dodoma nchini Tanzania, Innocent Nyalia, ameibuka na ushindi mnono wa Sh Milioni 20 kutoka kwa waendeshaji wa Bahati Nasibu ya Biko ‘Ijue Nguvu ya Buku’, katika droo iliyochezeshwa leo jijini Dar es Salaam.

Droo hiyo ilichezeshwa na Balozi wa Biko, Kajala Masanja na Mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Jehud Ngolo, ambaye kwa pamoja alishuhudia kupatikana kwa mshindi huyo wa droo ya 29 ya Biko.

Akizungumza katika droo hiyo, Mratibu wa Masoko na Mawasiliano wa Biko, Hassan Melles, alimpongeza mshindi huyo wa mjini Dodoma, Nyalia na kuwataka Watanzania wote kuchangamkia fursa za mamilioni ya Biko.

Alisema huu ni wakati wa kutajirika kwa kuvuna mamilioni ya Biko yanayoendelea kutolewa kwa wingi, ikiwa ni mwendelezo wa kuona wachezaji hao wanaotumia simu za M-Pesa, Airtel Money na Tigo Pesa kwa kuingiza namba ya kampuni 505050 na kumbukumbu 2456 wananeemeka na Biko.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Innocent Nyalia wa Dodoma achomoza na Milioni 20 za Biko

yaani makala yote Innocent Nyalia wa Dodoma achomoza na Milioni 20 za Biko Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Innocent Nyalia wa Dodoma achomoza na Milioni 20 za Biko mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/innocent-nyalia-wa-dodoma-achomoza-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Innocent Nyalia wa Dodoma achomoza na Milioni 20 za Biko"

Post a Comment

Loading...