Loading...
title : Jumuiya ya Maendeleo ya Elimu Zanzibar (ZEDO) yawakutanisha wanachama wa Kijani kibichi wa Mkoa wa Kaskazini na Mkoa Kusini Unguja
link : Jumuiya ya Maendeleo ya Elimu Zanzibar (ZEDO) yawakutanisha wanachama wa Kijani kibichi wa Mkoa wa Kaskazini na Mkoa Kusini Unguja
Jumuiya ya Maendeleo ya Elimu Zanzibar (ZEDO) yawakutanisha wanachama wa Kijani kibichi wa Mkoa wa Kaskazini na Mkoa Kusini Unguja
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Maendeleo ya Elimu Zanzibar (ZEDO) ambae pia ni Mkurugenzi wa Mtandao wa Kijani kibichi Ussi Said Suleiman, akizungumza na wanachama wa mtandao huo wa Mkoa Kaskazini na Kusini kwa lengo la kuanzisha Kijiji kitakachozalisha zaidi ya ajira 2000.
BAADHI ya wanachama wa Mtandao wa Kijani kibichi wa Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja wakimsikiliza Mkurugenzi wa Mtandao huo Ussi Said Suleiman (hayupo pichani) katika mkutano uliofanyika Ofisi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Elimu Mikunguni mjini Zanzibar.
MMOJa wa wanachama wa mtandao wa Kijani kibichi Bi. Eunice Peter akichangia katika mkutano wa kujadili maendeleo ya jumuiya hiyo.
WANACHAMA wa Jumuiya ya ZEDO kutoka mikoa miwili ya Unguja, Kaskazini na Kusini waliohitimu mafunzo ya ujasiriamali wakiwa katika picha ya pamoja. Katikati ni Ussi Said Suleiman, Mwenyekiti wa jumuiya hiyo.
Picha na Makame Mshenga.
Hivyo makala Jumuiya ya Maendeleo ya Elimu Zanzibar (ZEDO) yawakutanisha wanachama wa Kijani kibichi wa Mkoa wa Kaskazini na Mkoa Kusini Unguja
yaani makala yote Jumuiya ya Maendeleo ya Elimu Zanzibar (ZEDO) yawakutanisha wanachama wa Kijani kibichi wa Mkoa wa Kaskazini na Mkoa Kusini Unguja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Jumuiya ya Maendeleo ya Elimu Zanzibar (ZEDO) yawakutanisha wanachama wa Kijani kibichi wa Mkoa wa Kaskazini na Mkoa Kusini Unguja mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/jumuiya-ya-maendeleo-ya-elimu-zanzibar.html
0 Response to "Jumuiya ya Maendeleo ya Elimu Zanzibar (ZEDO) yawakutanisha wanachama wa Kijani kibichi wa Mkoa wa Kaskazini na Mkoa Kusini Unguja"
Post a Comment