Loading...

KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AWAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA

Loading...
KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AWAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AWAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AWAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA
link : KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AWAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA

soma pia


KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AWAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akimvisha cheo Kamishna wa Divisheni ya Usalama dhidi ya Moto, Jesuald Ikonkowakati wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam. 
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akimvisha cheo Kamishna wa Divisheni ya Operesheni Billy Mwakatage,wakati wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam.
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akimsikiliza Msemaji wa Jeshi hilo Mrakibu Msaidizi Puyo Nzalayaimisi,akitoa utambulisho mfupi wa Makamishna wakati wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam. 
 Kamishna wa Divisheni ya Oparesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage, akila kiapo cha Utii mbele yaKamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye,wakati wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam. 
 Kamishna wa Divisheni ya Usalama dhidi ya Moto wa Jeshi la Zimamoto na, Jesuald Ikonko, akila kiapo cha Utii mbele ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, wakati wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye(watatukulia), akiwa katika picha na Kamishna wa Utawala na Fedha, Michael Shija (wapili kulia), Kamishna wa Oparesheni Billy Mwakatage (kushoto) na Kamishna wa Usalama dhidi ya Moto, Jesuald Ikonko (kulia) wakati wa hafla fupi ya kuapishwa iliyofanyika leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji


IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, MAKAO MAKUU


Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AWAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA

yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AWAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AWAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kamishna-jenerali-wa-jeshi-la-zimamoto.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AWAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA"

Post a Comment

Loading...