Loading...
title : Bodi ya Korosho yatangaza upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho
link : Bodi ya Korosho yatangaza upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho
Bodi ya Korosho yatangaza upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho
Katibu na Mwanasheria toka Bodi ya Korosho Bi. Ugumba Kilasa (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkaguzi wa ndani wa bodi hiyo Bw. Christopher Mwaya.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkaguzi wa ndani toka Bodi ya Korosho Bw. Christopher Mwaya wakati akielezea upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo.
Hivyo makala Bodi ya Korosho yatangaza upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho
yaani makala yote Bodi ya Korosho yatangaza upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Bodi ya Korosho yatangaza upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/bodi-ya-korosho-yatangaza-upatikanaji.html
0 Response to "Bodi ya Korosho yatangaza upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho"
Post a Comment