Loading...
title : KAMPUNI YA UMEME WA ZOLA YAZINDUA DUKA JIPYA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
link : KAMPUNI YA UMEME WA ZOLA YAZINDUA DUKA JIPYA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
KAMPUNI YA UMEME WA ZOLA YAZINDUA DUKA JIPYA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
DUKA jipya linalouza vifaa na kutoa huduma za umeme wa ZOLA lazinduliwa Mwenge jijini Dar es Salaam leo. Akizungumza wakati uzinduzi wa Duka hilo Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa ZOLA, Steve Kimea ametoa wito kwa Taasisi za Serikali ambazo hazina huduma za umeme hasa vijijini kushirikiana nao ili kuwafikia watu wengi zaidi hasa kwenye vituo vya afya ili kuwasaidia wagojwa pamoja na kinamama wajawazito.
Amesema kuwa kampuni hiyo inayotoa umeme wa ZOLA hapa nchini imeshatoa huduma hiyo kwenye vituo vya Polisi pamoja na vituo vya huduma za afya na umeme upo vizuri.
Hata hivyo amesema kuwa utakapo nunua mtambo wa umeme wa ZOLA utatengenezewa mfumo wa umeme katika nyumba yako kwa bei nafuu na wengine kwani huduma zao zinalingana na maisha ya Mtanzania.
Amesema kuwa umeme wa ZOLA unaweza kutumika katika vifaa mbalimbali kama kuchaji simu, mashine za kunyolea, televisheni pamoja na kuwasha taa sita za ndani.
Pia ukinunua vifaa vya ZOLA utapata dhamana(Warrant) ya miaka mitano endapo kifaa chochote kitaharibika mteja utatengenezewa bila gharama yeyote ile.
Duka la ZOLA lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara, Steve Kimea wa ZOLA akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo mara baada ya uzinduzi wa duka hilo ambalo watakuwa wanatoa huduma pamoja na kuuza vifaa mbalimbali vitakavyotumika kupata umeme wa ZOLA.
Hivyo makala KAMPUNI YA UMEME WA ZOLA YAZINDUA DUKA JIPYA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
yaani makala yote KAMPUNI YA UMEME WA ZOLA YAZINDUA DUKA JIPYA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA UMEME WA ZOLA YAZINDUA DUKA JIPYA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kampuni-ya-umeme-wa-zola-yazindua-duka.html
0 Response to "KAMPUNI YA UMEME WA ZOLA YAZINDUA DUKA JIPYA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM LEO."
Post a Comment