Loading...

Kijana afariki kutokana na kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana

Loading...
Kijana afariki kutokana na kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kijana afariki kutokana na kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kijana afariki kutokana na kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana
link : Kijana afariki kutokana na kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana

soma pia


Kijana afariki kutokana na kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana

Na Salmin Juma, Pemba

Kijana mmoja amekutwa akiwa amesha fariki huko ndugu kitu wilaya ya chake chake Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kupata kipigo kikali kutoka kwa watu wasio julikana.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba  Shekhan Mohd Shekhan amesema kuwa marehemu Ibrahim Hija Kipenda (28) mkaazi wa msingini chake chake  wamemkuta akiwa tayari amesha fariki kutokana na kipigo hicho alichokipata kwa watu hao.

Amefahamisha kuwa katika uchunguzi wa awali wamebaini kuwa kijana huyo imeonyesha alishambuliwa sana na kupelekea kupata  namejeraha makubwa katika mwili wake.

Ameeleza kuwa marehu huyo alibainika kukutwa na  nazi kwenye polo pamoja na matunda mengine anayodaiwa kuwa aliyaiba kwenyeshamba la mtu ambae hakujulikana.

 Kwaupande wake Daktari dhamana wa Hospitali ya Chake chake Habibu Khamis amekiri kupokelewa mwili wa  merehem huyo na uchunguzi umebainisha chanzo cha cha kifo chake nikutokana na  majeraha makali aliyoyapata  ikiwa nipamoja na kuchomwa na kitu chenye ncha kali kinachozaniwa kuwa ni kisu.

Nae mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Mh. Salama Mbarouk Khatib amesema kuwa walipata taarifa ya kuonekana kwa marehemu huyo wakati wakiwa katika maandalizi ya ziara rasmi ya Rais wa Zanzibar hapa Kisiwani Pemba.

Amefahamisha kuwa kwakushirikiana na vikosi vya ulinzi na usalama vya Mkoa wa Kusini Pemba waliweza kufika katika eneo la tukio na kuuchukua mwili wa marehemu na kuupeleka hospitali ya Wilaya ya Chake Chake kwa uchunguzi baadae mwili huwo kukabidhiwa kwa ndugu wa marehemu kwa mazishi.

Aidha ameitaka jamii kuto jichukulia sheria mikononi mwao nabadala yake wafuate sheria ili kuweza kuwafikisha katika vyombo vya maamuzi wale wote wanaogundulika kutenda makosa.


Hivyo makala Kijana afariki kutokana na kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana

yaani makala yote Kijana afariki kutokana na kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kijana afariki kutokana na kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kijana-afariki-kutokana-na-kipigo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kijana afariki kutokana na kipigo kutoka kwa watu wasiojulikana"

Post a Comment

Loading...