Loading...
title : Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Chatua Elimu ya Sheria ya Haki Za Binaadamu Kisiwani Pemba.
link : Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Chatua Elimu ya Sheria ya Haki Za Binaadamu Kisiwani Pemba.
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Chatua Elimu ya Sheria ya Haki Za Binaadamu Kisiwani Pemba.
Mratibu wa Kituo cha Huduma za Sheria Tawi la Pemba,Bi.Fatma Khamis Hemed, akizungumza wakati wa mafunzo hayo na Wapiganaji wa Vikosi vya SMZ, Pemba ,kuhusiana na mafunzo ya Haki za Binaadamu, mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Kituo hicho Chakechake Pemba.
Baadhi ya Wapiganaji wa Vikosi vya Idara maalumu vya SMZ, wakiwa katika mafunzo ya haki za Binaadamu yaliotayarishwa na kituo cha huduma za Sheria Pemba.
Maofisa wa Jeshi la Magereza Kisiwani Pemba, wakiwa katika mafunzo ya haki za Binaadamu yaliotayarishwa na Kituo cha huduma za Sheria Pemba.Maofisa wa Kikosi cha KVZ Kisiwani Pemba, wakiwa katika mafunzo ya haki za Binaadamu yaliotayarishwa na kituo cha huduma za Sheria Pemba.(Picha na Bakar Mussa-Pemba.
Hivyo makala Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Chatua Elimu ya Sheria ya Haki Za Binaadamu Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Chatua Elimu ya Sheria ya Haki Za Binaadamu Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Chatua Elimu ya Sheria ya Haki Za Binaadamu Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kituo-cha-huduma-za-sheria-zanzibar.html
0 Response to "Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Chatua Elimu ya Sheria ya Haki Za Binaadamu Kisiwani Pemba."
Post a Comment