Loading...

Skuli ya Kangani Imeibuka Mshindi wa Kuhifadhi Mazingira Kupitia Mradi wa Eco-School Zanzibar.

Loading...
Skuli ya Kangani Imeibuka Mshindi wa Kuhifadhi Mazingira Kupitia Mradi wa Eco-School Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Skuli ya Kangani Imeibuka Mshindi wa Kuhifadhi Mazingira Kupitia Mradi wa Eco-School Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Skuli ya Kangani Imeibuka Mshindi wa Kuhifadhi Mazingira Kupitia Mradi wa Eco-School Zanzibar.
link : Skuli ya Kangani Imeibuka Mshindi wa Kuhifadhi Mazingira Kupitia Mradi wa Eco-School Zanzibar.

soma pia


Skuli ya Kangani Imeibuka Mshindi wa Kuhifadhi Mazingira Kupitia Mradi wa Eco-School Zanzibar.

Ofisa Mdhamini Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakar Alawi, akikaguwa maeneo yaliohifadhiwa Kimazingira huko katika Skuli ya Kangani Pemba, katika mradi wa Eco School.
Ofisa Mdhamini Wizara ya Ardhi ,Maji Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakar Alawi, akiangalia eneo ambalo limetengwa kwa ajili ya kupandwa miti ya asili ambayo hutumika kama dawa huko katika Skuli ya Kangani Pemba katika mradi wa Eco School.
Ofisa Mdhamini Wizara ya Ardhi , Maji , Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakar Alawi, akikaguwa maeneo yaliohifadhiwa Kimazingira huko katika Skuli ya Kangani Pemba, katika mradi wa Eco School.
Ofisa Mdhamini Wizara ya Ardhi , Maji , Nishati na Mazingira  Pemba, Juma Bakar Alawi, akizungumza na Wanafunzi wa Skuli za Kangani na Makombeni katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa Skuli zilizofanya vyema katika mradi wa uhifadhi wa Mazingira Skulini, Eco School,
Mwanafunzi wa Skuli ya Kangani , Hafidh Ame Haji , akionesha namna wanavyohifadhi mazingira ndani ya Skuli yao wakati wa Sherehe ya kukabidhi Zawadi za Skuli zilizofikia kiwango cha uhifadhi mazingira Eco School
Picha na Habiba Zarali  - Pemba.


Hivyo makala Skuli ya Kangani Imeibuka Mshindi wa Kuhifadhi Mazingira Kupitia Mradi wa Eco-School Zanzibar.

yaani makala yote Skuli ya Kangani Imeibuka Mshindi wa Kuhifadhi Mazingira Kupitia Mradi wa Eco-School Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Skuli ya Kangani Imeibuka Mshindi wa Kuhifadhi Mazingira Kupitia Mradi wa Eco-School Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/skuli-ya-kangani-imeibuka-mshindi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Skuli ya Kangani Imeibuka Mshindi wa Kuhifadhi Mazingira Kupitia Mradi wa Eco-School Zanzibar."

Post a Comment

Loading...