Loading...
title : Mahakama yaruhusu mkutano mkuu wa club ya simba kufanyika Agosti 13
link : Mahakama yaruhusu mkutano mkuu wa club ya simba kufanyika Agosti 13
Mahakama yaruhusu mkutano mkuu wa club ya simba kufanyika Agosti 13
Na Ahmed Ally .
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imetupilia mbali ombi la bodi ya wadhamini wa klabu ya Simba la kutaka kuzuia mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliopangwa kufanyika August 13 mwaka huu.
Hakimu Mkazi amesema haitokua busara kuzuia mkutano huo kwani Agenda za mkutano hazionyeshi kama kuna agenda ya mabadiliko ya mfumo kama ambavyo wadhamini wanadai.
Pia Mahakama imesema sio busara kuzuia Mkutano kwani tayari baadhi wanachama wa Simba wanaoishi mikoani wameshawasili hivyo kuzuia mkutano huo ni kuwatia hasara, lakini pia uongozi wa klabu umeshafanya maandalizi.
Na mwisho kabisa mahakama imesema kwa kuwa mlalamikaji ambae ni Mzee Kilomoni ana haki ya kuhudhuria Mkutano Mkuu ni vema akaenda kwenye mkutano huo akaeleza maoni yake.
Hivyo makala Mahakama yaruhusu mkutano mkuu wa club ya simba kufanyika Agosti 13
yaani makala yote Mahakama yaruhusu mkutano mkuu wa club ya simba kufanyika Agosti 13 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mahakama yaruhusu mkutano mkuu wa club ya simba kufanyika Agosti 13 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/mahakama-yaruhusu-mkutano-mkuu-wa-club.html
0 Response to "Mahakama yaruhusu mkutano mkuu wa club ya simba kufanyika Agosti 13"
Post a Comment