Loading...

AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI

Loading...
AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI
link : AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI

soma pia


AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

KATIKA kuadhimisha Siku ya kimataifa ya mtoto wa kike kampuni ya simu ya Airtel Tanzania sambamba na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi(VETA), wamekuja na mbinu mpya ya kutoa mafunzo kupitia simu ya mkononi.

Akizungumza na Michuzi blog Meneja mradi wa Airtel Jane Matinde ameeleza leo jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na VETA wameamua kutoa mafunzo ya nadharia na vitendo kupitia apllication ya Vsomo inayopatika playstore bure kabisa ambayo baada ya kusoma ukifaulu kwa asilimia 40 atachaguliwa katika VETA iliyokaribu kuweza kuendelea na masomo.

Aidha ameeleza zaidi ya kozi 11 zinapatikana, hivyo vijana wanatakiwa kupakuwa application hiyo ili kujifunza kozi mbalimbali kama vile umeme wa majumbani na malipo ya kozi hizi ni shilingi laki moja na ishirini pekee.Kwa upande wa Meneja mradi wa Vsomo kutoka VETA Charles Mapuli ameeleza hadi sasa waliopakua application hiyo wapo zaidi ya 3500, waliosajiliwa 10,800 na waliosoma na kufanya mitihani wapo 120.

Pia masomo hayo ni ya muda mfupi kwa miaka miwili hadi mitatu na itawasaidia vijana wengi kufikia malengo yao na kufikia azma ya serikali ya kujenga Tanzania ya viwanda.

Meneja mradi wa Airtel Jane Matinde akizungumza na Michuzi blog leo jijini Dar es salaam kuhusiana na fursa ya Vsomo ambaye inatoa fursa ya kusoma masomo ya ufundi kupitia simu ya mkononi.
Katibu mkuu Wizara ya Elimu Dkt. Ave Maria Semakafu akisikiliza maelezk kutoka kwa Meneja mradi wa Airtel Jane Matinde kuhusiana na kusoma kupitia simu ya mkononi maarufu kama VSOMO.
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza meneja wa Vsomo,Charles Mapuli kutoka VETA katika maonesho ya siku ya kitaifa ya mtoto wa kike na Tehama leo jijini Dar es salaam.(Picha na Emmanuele Massaka,Globu ya jamii.


Hivyo makala AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI

yaani makala yote AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/airtel-na-veta-waungana-kutoa-mafunzo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI"

Post a Comment

Loading...