Maisha : Naibu Waziri, Angellah Mabula afanya ziara Mkoani Geita - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maisha : Naibu Waziri, Angellah Mabula afanya ziara Mkoani Geita, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Maisha : Naibu Waziri, Angellah Mabula afanya ziara Mkoani Geitalink :
Maisha : Naibu Waziri, Angellah Mabula afanya ziara Mkoani Geita
Maisha : Naibu Waziri, Angellah Mabula afanya ziara Mkoani Geita

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula akiwasili kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Geita na akisalimiana na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa huo Nyuma yake ni mwenyeji wake ambaye ni Mkuu wa Mkoa, Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga 
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akisaini kwenye kitabu cha wageni ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Mbongwe.
Mkuu wa Wilaya ya Mbongwe Mathar Mkupasi akisoma taarifa ya ardhi na maendeleo ya ukusanyaji wa mapato ambayo yanatokana na ardhi pamoja majengo yaliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya Hiyo.
Watumishi wa halmashauri ya Mboongwe pamoja na kamati ya Ulinzi na usalama wakifuatilia kikao cha Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbongwe Elias Kayandabila akionesha mchoro na ramani ya nyumba ambazo zinatarajia kujengwa na shirika la Nyumba la Taifa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbongwe Elias Kayandabila akikabidhi ramani kwa meneja wa shirika la Nyumba Mwanza, Simiyu na Geita Mhandisi Benedict Kilimba .
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akikagua mafaili kwenye ofisi za Ardhi za Wilaya hiyo.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akiangalia ramani ya Kijiji cha Bukandwe ambacho kipo kwenye Wilaya ya Mbongwe Mkoani Geita.
Mkuu wa Wilaya ya Mbongwe Mathar Mkupasi akiagana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula wakati alipotembelea kijiji cha Bukandwe.
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe ,Josephat Maganga akisoma taarifa fupi ya Wilaya ya Bukombe kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akikagua na kupatiwa maelezo na afisa ardhi mteule Joseph Kimondo .
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula ,akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Bukombe.PICHA ZOTE NA JOEL MADUKA .
Hivyo makala Maisha : Naibu Waziri, Angellah Mabula afanya ziara Mkoani Geita
yaani makala yote Maisha : Naibu Waziri, Angellah Mabula afanya ziara Mkoani Geita Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maisha : Naibu Waziri, Angellah Mabula afanya ziara Mkoani Geita mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/maisha-naibu-waziri-angellah-mabula.html
0 Response to "Maisha : Naibu Waziri, Angellah Mabula afanya ziara Mkoani Geita"
Post a Comment