Loading...
title : MAMA GRACA MARSHEL AZINDUA KITABU CHA WANAWAKE WALIOFANIKIWA KIUCHUMI AFRIKA
link : MAMA GRACA MARSHEL AZINDUA KITABU CHA WANAWAKE WALIOFANIKIWA KIUCHUMI AFRIKA
MAMA GRACA MARSHEL AZINDUA KITABU CHA WANAWAKE WALIOFANIKIWA KIUCHUMI AFRIKA
Mjane wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela , Mama Graca Marshel akipiga makofi mbele ya Wanawake waliofanikiwa kiuchumi ambao wameandikwa katika kitabu cha wanawake Afrika kuashiria uzinduzi wa Kitabu hicho katika Mkutano wa Advance Women Africa
Mwandishi wa Kitabu cha Wanawake waliofanukiwa kiuchumi Afrika , Lisa O'Donoghue akifanya marejeo ya kitabu hicho kabla ya kuzinduliwa
Mwandishi wa Habari kutoka Tanzania akitoa stori fupi ya Maisha na Mtoto wake , Ester Karin
Wanawake Mashuhuri nchini wakiwa katika mkutano huo wakijadili jambo kabla ya uzinduzi wa kitabu
Mjane wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela , Mama Graca Marshel , akiteta na Wanawake wajasiliamali nchini ambao wameshiriki Mkutano wa Women Advance Afrika
Sehemu ya Washiriki wa Mkutano huo wakifatilia kwa makini
Sehemu ya Washiriki wa Mkutano huo wakifatilia kwa makini.
Picha na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Hivyo makala MAMA GRACA MARSHEL AZINDUA KITABU CHA WANAWAKE WALIOFANIKIWA KIUCHUMI AFRIKA
yaani makala yote MAMA GRACA MARSHEL AZINDUA KITABU CHA WANAWAKE WALIOFANIKIWA KIUCHUMI AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMA GRACA MARSHEL AZINDUA KITABU CHA WANAWAKE WALIOFANIKIWA KIUCHUMI AFRIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/mama-graca-marshel-azindua-kitabu-cha.html
0 Response to "MAMA GRACA MARSHEL AZINDUA KITABU CHA WANAWAKE WALIOFANIKIWA KIUCHUMI AFRIKA"
Post a Comment