Loading...

Matembezi ya Baraza la vijana kuadhimisha mwaka mmoja wilaya ya mjini

Loading...
Matembezi ya Baraza la vijana kuadhimisha mwaka mmoja wilaya ya mjini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matembezi ya Baraza la vijana kuadhimisha mwaka mmoja wilaya ya mjini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matembezi ya Baraza la vijana kuadhimisha mwaka mmoja wilaya ya mjini
link : Matembezi ya Baraza la vijana kuadhimisha mwaka mmoja wilaya ya mjini

soma pia


Matembezi ya Baraza la vijana kuadhimisha mwaka mmoja wilaya ya mjini







Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Mheshimiwa Ayoub Mohamed Mahmoud akiwa Sambamba na Mkuu wa wilaya ya Mjini Bi. Marina Joel Thomas mara baada ya kupokea matembezi yaliyoandaliwa na Baraza la Vijana Wilaya ya Mjini katika kusheherekea kutimiza mwaka mmoja pamoja na kuelekea maadhimisho ya siku ya vijana duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni "VIJANA NI WAJENZI WA AMANI". 

Matembezi hayo yalianzia Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya mjini mpaka Mapinduzi Square hapo Kisonge ambapo palifuatiwa na zoezi la uchangiaji damu. 

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi pamoja na Mkuu wa wilaya ya mjini pia walishiriki matembezi hayo katika kuwaunga mkono vijana.


Hivyo makala Matembezi ya Baraza la vijana kuadhimisha mwaka mmoja wilaya ya mjini

yaani makala yote Matembezi ya Baraza la vijana kuadhimisha mwaka mmoja wilaya ya mjini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matembezi ya Baraza la vijana kuadhimisha mwaka mmoja wilaya ya mjini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/matembezi-ya-baraza-la-vijana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matembezi ya Baraza la vijana kuadhimisha mwaka mmoja wilaya ya mjini"

Post a Comment

Loading...