Loading...
title : MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA JESHI LA POLISI
link : MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA JESHI LA POLISI
MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA JESHI LA POLISI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Balozi wa Korea Kusini Song, Geum Young wakati wa siku maalum ya kuadhimisha urafiki kati ya Tanzania na nchi ya Korea kusini ambapo Balozi huyo amekubali kusaidia kufunga kamera maalum za kufuatilia wahalifu-CCTV katika jiji la Dar es Salaam. (Picha na Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Korea Kusini Song, Geum Young (wa tatu kutoka kushoto) pamoja na maofisa wengine wakati wa siku maalum ya kuadhimisha urafiki kati ya Tanzania na nchi ya Korea kusini ambapo Balozi huyo amekubali kusaidia kufunga kamera maalum za kufuatilia wahalifu-CCTV katika jiji la Dar es Salaam.
Kamishna wa Polisi, Oparesheni na Mafunzo Nsato Marijani akizungumza na Askari Polisi wanaokwenda kwenye Operesheni ya ulinzi wa amani Darfur Sudan wakati wa zoezi la kuwakabidhi bendera ya taifa ambapo jumla ya Askari 24 wanatarajia kuondoka hivi karibuni.
Kamishna wa Polisi, Oparesheni na Mafunzo Nsato Marijani akiwakabidhi bendera ya taifa Askari Polisi wanaokwenda kwenye Operesheni ya ulinzi wa amani Darfur Sudan ambapo jumla ya Askari 24 wanatarajia kuondoka hivi karibuni.
Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA JESHI LA POLISI
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA JESHI LA POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA JESHI LA POLISI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/matukio-mbalimbali-kutoka-jeshi-la.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA JESHI LA POLISI"
Post a Comment