Loading...

HE! KUMBE OPERESHENI YA DAWA ZA KULEVYA BADO INA ENDELEA? SOMA HAPO

Loading...
HE! KUMBE OPERESHENI YA DAWA ZA KULEVYA BADO INA ENDELEA? SOMA HAPO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HE! KUMBE OPERESHENI YA DAWA ZA KULEVYA BADO INA ENDELEA? SOMA HAPO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HE! KUMBE OPERESHENI YA DAWA ZA KULEVYA BADO INA ENDELEA? SOMA HAPO
link : HE! KUMBE OPERESHENI YA DAWA ZA KULEVYA BADO INA ENDELEA? SOMA HAPO

soma pia


HE! KUMBE OPERESHENI YA DAWA ZA KULEVYA BADO INA ENDELEA? SOMA HAPO


Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Meshimiwa Paul Makonda leo amepokea ugeni wa Wanajeshi wa Jeshi la Maji kutoka Nchini China waliokuja Nchini kwa lengo la kuimarisha mahusiano ya kijeshi ambapo amesema atandeleea na mikakati ya kudhibiti uingizwaji wa Dawa za kulevya zinazoingizwa Nchini kwa kutumia Bahari ya Hindi.

Katika mazungumzo kati Mkuu wa Mkoa na kikosi cha Jeshi hilo  amewasilisha ombi la kupatiwa Boti za kisasa zitakazotumiwa  Jeshi la polisi katika kuimarisha Doria kwenye mwambao wa Bahari ya Hindi ili kukomesha Biashara za magendo ikiwemo ya Dawa za kulevya na Bandari bubu.

Ombi hilo la Boti limepokelewa kwa mikono miwili na Jeshi hilo ambalo pia limeonyesha kufurahishwa na namna Mheshimiwa Makonda anakali wananchi wake kwa kuhakikisha wako salama katika kazi zao za kila siku.

Aidha Jeshi hilo limemualika Mkuu wa Mkoa kwenda kutembelea Meli kubwa na ya kisasa ya Jeshi hilo ambayo tayari ipo nchini kwaajili ya kuona namna inavyofanya kazi.


Lengo la ujio wa Jeshi hilo Nchini kuimarisha mahusiano ya kijeshi baina ya Tanzania na China ili kwa pamoja waweze kupambana na uhalifu.

Kwa upande wake Kamanda wa Jeshi la Majini la China Real Admiral Shen Hao amesema kuwa ombi la Mkuu wa Mkoa la kupatiwa Bodi za kisasa watalitimiza na kueleza kuwa wataendelea kuimarisha mahusiano ya kijeshi baina ya Tanzania na China.



Hivyo makala HE! KUMBE OPERESHENI YA DAWA ZA KULEVYA BADO INA ENDELEA? SOMA HAPO

yaani makala yote HE! KUMBE OPERESHENI YA DAWA ZA KULEVYA BADO INA ENDELEA? SOMA HAPO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HE! KUMBE OPERESHENI YA DAWA ZA KULEVYA BADO INA ENDELEA? SOMA HAPO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/he-kumbe-operesheni-ya-dawa-za-kulevya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HE! KUMBE OPERESHENI YA DAWA ZA KULEVYA BADO INA ENDELEA? SOMA HAPO"

Post a Comment

Loading...