Loading...

Mkazi wa Singida alamba kitita cha zaidi ya Tsh-Mil 200/- m-Bet

Loading...
Mkazi wa Singida alamba kitita cha zaidi ya Tsh-Mil 200/- m-Bet - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkazi wa Singida alamba kitita cha zaidi ya Tsh-Mil 200/- m-Bet, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkazi wa Singida alamba kitita cha zaidi ya Tsh-Mil 200/- m-Bet
link : Mkazi wa Singida alamba kitita cha zaidi ya Tsh-Mil 200/- m-Bet

soma pia


Mkazi wa Singida alamba kitita cha zaidi ya Tsh-Mil 200/- m-Bet

Msemaji wa M-bet, Goodluck Wambura(kushoto)Kaimu Mkurugenzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini, James Mbalwe, Meneja wa bodi hiyo, Sadiki Elimsu,wakimshuhudia mshindi wa shilingi Milioni 200/- kupitia M-bet, Mkazi wa Mkoa wa Singida,Kikuba Ramadhani akiwasomea waandishi wa habari(hawapo pichani)kiasi cha fedha kilichoandikwa kwenye hundi yake wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi hundi yake mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja wa bodi ya michezo yakubahatisha nchini, Sadiki Elimsu(kushoto) Msemaji wa M-bet,Goodluck Wambura, Mkurugenzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini, James Mbalwe,wakimpongeza kwa kumpigia makofi mshindi wa M-bet wa kitita cha shilingi Milioni 200, Mkazi wa Mkoa wa Singida, Kikuba Ramadhani.
Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 200 kupitia M-bet, Mkazi wa Mkoa wa Singida, Kikuba Ramadhani,akiwa ameshikilia hundi yake wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi hundi hiyo iliyofanyika jijini Dares Salaam mwishoni mwa wiki.
Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 200 kupitia M-bet, Mkazi wa Mkoa wa Singida, Kikuba Ramadhani(watatu toka kushoto)akiwa kwenye picha ya pamoja na ndugu zake na mama yake mzazi(wapili kushoto) wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi hundi hiyo iliyofanyika jijini Dares Salaam mwishoni mwa wiki.


Hivyo makala Mkazi wa Singida alamba kitita cha zaidi ya Tsh-Mil 200/- m-Bet

yaani makala yote Mkazi wa Singida alamba kitita cha zaidi ya Tsh-Mil 200/- m-Bet Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkazi wa Singida alamba kitita cha zaidi ya Tsh-Mil 200/- m-Bet mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/mkazi-wa-singida-alamba-kitita-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkazi wa Singida alamba kitita cha zaidi ya Tsh-Mil 200/- m-Bet"

Post a Comment

Loading...