Loading...

MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NORTHAMPTON, UINGEREZA, KUFANYIKA JUMAMOSI AGOSTI 19, 2017

Loading...
MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NORTHAMPTON, UINGEREZA, KUFANYIKA JUMAMOSI AGOSTI 19, 2017 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NORTHAMPTON, UINGEREZA, KUFANYIKA JUMAMOSI AGOSTI 19, 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NORTHAMPTON, UINGEREZA, KUFANYIKA JUMAMOSI AGOSTI 19, 2017
link : MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NORTHAMPTON, UINGEREZA, KUFANYIKA JUMAMOSI AGOSTI 19, 2017

soma pia


MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NORTHAMPTON, UINGEREZA, KUFANYIKA JUMAMOSI AGOSTI 19, 2017


Ndugu wana Northampton kwa mujibu wa taratibu na kanuni tulizojiwekea na matarajio yetu ya muda mrefu, Kwa niaba ya kamati ndogo ya maandalizi naitisha Mkutano Mkuu na wa Uchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya yetu ya Watanzania wote waishio Northampton na maeneo ya Wellingborough, Kattering na Corby (NORTHAMPTONSHIRE)  utakaofanyika siku ya Jumamosi tarehe 19/08/2017 katika ukumbi wa Norfolk Terrace, Semilong, Northampton NN2 6HS - Kuanzia saa kumi kamili jioni (4pm) mpaka saa mbili usiku (8.00pm).


Kamati ya maandalizi  inaomba ushirikiano wenu ili Kuepuka kupoteza muda siku ya mkutano, Tunaomba kila mjumbe mwenye ajenda ya ziada yeyote ambayo angependa iwepo katika kikao chetu basi asisite kunipatia siku nne kabla ya mkutano kwa njia ya Barua Pepe kwenda; suleimansalum160@yahoo.com au kwa kupiga simu ya Mkononi nambari 07963549935.
Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa  Tanzania Diaspora Community/Association in the United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland Ndugu Abraham Sangiwa, ambaye atatoa ufafanuzi wa jinsi Jumuiya zetu hapa Northampton zitakavoshirikiana na Jumuiya hii kuu katika malengo muhimu yanayotugusa wote Kama Watanzania tunaoishi Ughaibuni ili kupata ufumbuzi wenye nguvu zaidi kwa ushirikiano wetu.



Tujitahidi kuzingatia muda siku hiyo.  
UMOJA NA NGUVU
Suleiman Salum
Mwenyekiti Jumuiya ya Watanzania Northampton


Hivyo makala MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NORTHAMPTON, UINGEREZA, KUFANYIKA JUMAMOSI AGOSTI 19, 2017

yaani makala yote MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NORTHAMPTON, UINGEREZA, KUFANYIKA JUMAMOSI AGOSTI 19, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NORTHAMPTON, UINGEREZA, KUFANYIKA JUMAMOSI AGOSTI 19, 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/mkutano-mkuu-wa-uchaguzi-wa-jumuiya-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NORTHAMPTON, UINGEREZA, KUFANYIKA JUMAMOSI AGOSTI 19, 2017"

Post a Comment

Loading...