Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI APOKEWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MKOANI TANGA, ATOA MAAGIZO MBALIMBALI KUHARAKISHA MAENDELEO YA MKOA
link : RAIS DKT MAGUFULI APOKEWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MKOANI TANGA, ATOA MAAGIZO MBALIMBALI KUHARAKISHA MAENDELEO YA MKOA
RAIS DKT MAGUFULI APOKEWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MKOANI TANGA, ATOA MAAGIZO MBALIMBALI KUHARAKISHA MAENDELEO YA MKOA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tanga pamoja na maelfu ya wananchi wa Mkata wakati akiwasili mkoani Tanga.
Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkata wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi aliposimama eneo la Komkonga.
Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukisimamishwa na maelfu ya wananchi kila alipopita.
Wenyeji kwa wageni wakifurahia ujio wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli akiongea na wananchi eneo la Hale
Wananchi wenye furaha wakimsikiliza Rais Magufuli.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI APOKEWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MKOANI TANGA, ATOA MAAGIZO MBALIMBALI KUHARAKISHA MAENDELEO YA MKOA
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI APOKEWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MKOANI TANGA, ATOA MAAGIZO MBALIMBALI KUHARAKISHA MAENDELEO YA MKOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI APOKEWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MKOANI TANGA, ATOA MAAGIZO MBALIMBALI KUHARAKISHA MAENDELEO YA MKOA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rais-dkt-magufuli-apokewa-kwa-shangwe.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI APOKEWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MKOANI TANGA, ATOA MAAGIZO MBALIMBALI KUHARAKISHA MAENDELEO YA MKOA"
Post a Comment