Loading...
title : MKUU WA MKOA WA LINDI ATEMBELEA BANDA YA TANTRADE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE
link : MKUU WA MKOA WA LINDI ATEMBELEA BANDA YA TANTRADE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE
MKUU WA MKOA WA LINDI ATEMBELEA BANDA YA TANTRADE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi akishika mpira uliotengenezwa na Ngozi na Kiwanda cha Tanzania alipotembelea banda la TanTrade kwenye Maonesho ya Kilimo (Nanenane) yanayoendelea mkoani Lindi. Lengo la ushiriki wa TanTrade ni kuhamasisha wazalishaji wa bidhaa za kilimo, mifugo na uvuvi katika halmshauri mbalimbali kushiriki maonesho ya Viwanda vya Tanzania yatakayoanza tar 7 - 11 Desemba, 2017 ikiwa ni fursa ya pekee kutangaza bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya Tanzania na kutoa hamasa kwa Watanzania kununua bidhaa za Tanzania
Hivyo makala MKUU WA MKOA WA LINDI ATEMBELEA BANDA YA TANTRADE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE
yaani makala yote MKUU WA MKOA WA LINDI ATEMBELEA BANDA YA TANTRADE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA LINDI ATEMBELEA BANDA YA TANTRADE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/mkuu-wa-mkoa-wa-lindi-atembelea-banda.html
0 Response to "MKUU WA MKOA WA LINDI ATEMBELEA BANDA YA TANTRADE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE"
Post a Comment